>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Chezeiya whindhoek wewe?
Afu baba mie ndo naingia home. Make sure maza hakufukuzi manake Paw akinizingua tu nakuja home. I need a commercial break kiukweli.
Duh leo mpaka kidachi kinazungumzwa ndio maambo ya Bier nini Arushaone....!
 
Last edited by a moderator:
Nmeelewa bana, umemwambia asipende bia za bure atapigwa BAN na Moderator anayeitwa Roulette (verstehen)
hahahahah mtambuzi umeingia chaka kabisa total falsch Mtambuzi wie war dein Geburtstag oder du einfach ignorieren? -nimesema hivi -umekosea mtambuzi je birthday yako ilikuwaje au mepotezea?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday baba mkwe mzee Mtambuzi ! Nilimpa zawadi mpenzi wangu King'asti akuletee, vp amefikisha?
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mukubwa......lakini sasa hapo kwenye muziki munene.....kuna mtu nimepangwa nae na nimemnunia..... AshaDii.....huwezi kunibadilisha ukaniweka sehemu nyingine?......naogopa kuharibu sherehe........
Preta usijali da AshaDii kamtoa huyo anayejiita mtu chake kaniweka mimi kwenye hyo kamati ya Music so tutakuwa nawewe na hako ka mtu chake kamewekwa kwenye kamati ya usafi na kuondoa vyombo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Mtambuzi naomba niungane na wenzangu kukutakia kheri na Mungu akupe maisha yasio misukosuko.
 
Epi besdei mkuu...kwenye usafiri nitajitoa kweli kweli....kwenye hii sherehe nitaimba na kushukuru baada ya Mungu kuniondolea kifungo cha sweetlady....
 
Last edited by a moderator:
Epi besdei mkuu...kwenye usafiri nitajitoa kweli kweli....kwenye hii sherehe nitaimba na kushukuru baada ya Mungu kuniondolea kifungo cha sweetlady....


Neno langu shilingi si la kubishana na wewe.....usidhani nitajibu bwana.......nimezaliwa kushinda ndio mana napita kila ukibana....... Utajiju!
 
Back
Top Bottom