>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Jamani mniwie radhi kwa kuchelewa kufika ukumbini, unajua wakati mwingine huu uzee huu unakuja na vibweka vyake, mwenzenu nilikuwa shamba......
 
Ich bin schon beim Mtambuzi, und habe schon angefangen zu trinken. Wann und mit wem kommst du ??? Madame B und ich warten schon auf dich/euch. Ich bring sie gerade dazu zuvergessen das jmd ruttashobolwa anruft.

Duh leo mpaka kidachi kinazungumzwa ndio maambo ya Bier nini Arushaone....!
 
Last edited by a moderator:

A%20S-rose.gif
A%20S-rose.gif
A%20S-rose.gif
..."Happy Birthday Mtambuzi"....
A%20S-rose.gif
A%20S-rose.gif
A%20S-rose.gif



Halafu wewe nakudai arubaki yangu ya mahari ya Cantalisia.......
 
Last edited by a moderator:
Nyumbani leo kitaenuka, mama Ngina hatonielewa, mpaka mida hii bado niko Kitaa nasongesha.....
Sipati picha wallahi...

 



Wadau Chit Chart wakisongesha maeneo ya Mtambuzi PUB................
 


Dunia ni Msongamano, Mtambuzi naelekea uzeeni sasa, lazima niwe na utulivu sababu kuishi kwingi nikuona mengi......
 
Last edited by a moderator:


Mutoto wa Mujini nina sababu ya kuringa..........
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu na wadau wote wa JF kwa Birthday wishes, nilikamatika mpaka nimechelewa ukumbini, lakini hata hivyo mambo ndio kwanza yanaiva, ukumbi umejaa mbaya...........
hahaha ishu huwa wengine hawataji umri kwenye party ya happy birthday
 
why-men-cheat-4.jpg


Nahisi wengine leo watakamatika kinamna............................
 
still-standing.png


Duh...! hawa sijui wamechelewa wapi masikini......LOL
 
139247665.jpg


Duh, gfsonwin ametelekezwa nyumbani masikini........ LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom