X wangu kaniambia nimemroga!

Mkuu Nyalotsi,
  1. You have the powers!. Umezitumia negatively!. Nenda kanisome HAPA! ili ujue jinsi ya kuzitumia positively.
  2. Unaweza kujikuta ni kweli wewe ndie uliyemlaani!, kuna kitu kinaitwa "curse" laana!. Huyo dada amehangaika sana kutafuta mtoto, ana alikwenda kwa waganga fake, alipofika kwa mganga wa ukweli mwenye insight, akaangalia kwa jicho la tatu, jicho la ndani, jicho la roho, akaliona tatizo, akamwambia, dada akakutafuta!.
  3. Matatizo ya uzazi naturally huwa yapo, ila pia curse nazo huwa zipo, hivyo cha kufanya, ni kwa wewe kwanza riverse yale maneno mabaya uliyotamka, msamehe kwa dhati toka ndani ya moyo wako, wish her all the best, mtubie Mungu kuwa hukujua kilichotokea wala hukudhamiria kumdhuru ila ni powers zilizoko ndani yako ndizo zilizoyafanye hayo.
  4. Uatafunguka na atapata mtoto!.
Pasco.
 
coincidence! it happens.
Kwenye ulimwengu wa mwili, ndiko kwenye coincidence!, kwenye ulimwengu wa roho, hakuna coincidence!, kila kinachotokea, kilikuwa kitokee hivyo hivyo kitavyotokea!, every move, every action, every occorunce its all a pre meditated moves, kilikuwa kitokee!.

Pasco.
 
Mmm ngoja nikauze nyumba yangu ya gongolamboto kisha nije nipate hiyo ya mgando na pembeni.Lakini 7 utahimili? Naona msiba unautaka wewe maana nina guu la mtoto utaliweza???

hilo guu la mtoto liongeze kidogo halafu hizo saba kwani umesikia mimi mwanafunzi,fanya 10 na cha 11 cha kukuagia..uje tu umeshiba
 
Mkuu Cyberteq!, you have the powers!.

Nenda kanisome HAPA ujue how to put them in a good use!.

Pasco
 

Hilo nalijua aisee, hayo mambo niliyaongea nikiwa na hasira. Alinivuruga sana kipindi kile mpaka nikavurugika akili.
 
CYBERTEQ;9360206 siku nyingine tena niko ugenini nikakodi taxi said:
Kweli mkuu faida ya dhuruma Mungu huipiga kofi ogopa dhuruma na udanganyifu imewacost wengi.".......apandacho mtu ndicho atakachovuna"
 
Ndio umemloga kweli kwani maneno huumba.Mkuu acha uchawi kwa jina la YESU! Vipi na kuruka na ungo unaweza? kwa maana nataka niende London.

duh, mkuu hata dawa ya kujikinga sijawahi kuisikia. Mi nilisema tu kwa wakati na nilishasahau kwamba nilimwambia hivyo.
 
Kaka neno ulilolitumia lilikua ni kali sana...na kam unavyojua kuna viumbe wewe huwaoni akina mashetani...wakati wewe unoangea walilisikia ilo neno...wao wakaingia kati ili kukutengenea Fitna ya kuonekana kua wewe ni mchawi....ushauri uliowapa ni mzuri sana...kwa hio wache waende hospitali ili wajue kama ana tatizo la kiafya(biological problem)...ama kwa dawa za kiimani utawashauri kwa mujibu wa dini yao...kama ni waislam basi wanaweza kuchukua Maji atayasugulia majani ya mkunazi,majani ya mbaazi na mjani ya mpera na kuyasomea Surat-Mariam(7),Surat Raad(21),Surat Zilzala-Sura ya tetemeko(313),Surat-l-fiil=sura ya Tembo(313)...na takua anakunywa mara tatu kwa siku mara tu atakapojisikia amebeba uja uzito...Katuka mambo ambayo majini hufanya ni kuzila zite foetus zinapokua zinatunga kwenye tumbo la mama..
 
Kiukweli ulimlaani japo inaweza isiwe sababu ya masahibu yake. Muambie umemsamehe kabisa kwa kukuumiza, na utubu kwa Mungu na kukiri kwa sala kuwa umemsamehe. Hii mammbo ya kuumiza nyoyo za watu can be haunting.

Masaibu yake yana sababu zake bhana. Mimi huwa naamini ni mzazi wako tu ndiye anayeweza kukulaani. Mwingine atakuloga tuu!!
 
kaka umenena yaan ili mwanamke asepe kiroho safi ampe jamaa mpk aridhike ndo amruhusu vzr

Ha,ha itabidi nimwambie dawa ya uchawi niliomuwekea inabidi anipe kazi kwanza eti eeh!
 
Kaunga huwa hana comment za kitoto hivi, Kaunga eti hii ni ID yako nyingine mkuu?

Hahahah, kwamba ulikuwa unanijibu mimi eeh.
Duh hata kama ni usanii siwezi kumiliki personality tofauti hivi nisichemshe
 
Last edited by a moderator:
una "natural anciety witches in your body" "mtaje jina then zungumza kwa mkazo "fulani" sasa umepona"ninakuachia na sasa upo huru zaa watoto salama

sifanyi kazi hiyo aisee na sina nguvu hizo za Giza unazoamini wewe. Mimi naamini Mungu yupo na kila binadamu ana majaribu yake. Ukiamini uchawi na mwisho wako
 
Mmh pole umenikumbusha mbali Sana.
Nakumbuka nilikuwa na bf those years back. Nilimpenda kuliko hata nafsi yangu. Basi imeendaa akawa na mtu pembeni bila mi kujua. Kuna siku ikatokea huyo dada ajanitumia sms ya kunikashfu sana. Nikamwambia jamaa akabisha kuwa na uhusiano nae na hapo relationship ilikuwa imeshakuwa official kwao na kwetu.. nilikuwa nalia day and night. Nimejibembelezesha kwa jamaa wapi... baada ya miezi kibao ya kuumia nikasema enough is enough nikakata mawasiliano but kwa kumwambia maneno mabaya Sana like you will never be happy...hutafanikiwa etc etc.

Mmmmh baada ya two years nikasikia jamaa yupo vibaya mno kiuchumi...pia hana relationship stable kabisa.

Kuna siku bahati mbaya Sana si nikakutana nae bhana mahali....mmh nilichoka kabisa maana akaniambia kila anachofanya hajafanikiwa.La ajabu eti anasema eti ooh naomba ukubali nikuoe siwezi pata mtu kama ww.

I was like are you a nut case!!!
Sijaeleza yote asije akawa yupo humu akajua buure but no mengi na mabaya alinifanyia....
 
Hahahah, kwamba ulikuwa unanijibu mimi eeh.
Duh hata kama ni usanii siwezi kumiliki personality tofauti hivi nisichemshe

nilitaka kushangaa mkuu! lumbe siyo wewe ni mjusi tu anapita kwenye msafara wa mamba.
1 perfect love.
 

Kwa hiyo unamaanisha kauli yako ndiyo ilibadilisha mkondo wa maisha yake?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…