X wangu anataka turudiane

Chuma ulete anataka arudi aje ukumalize kabisa.......... huyo kaachwa huko alikoenda anarudi kupumzika kidogo kwako akitafuta pa kurukia tena.
 
Kula tigo safari hii atakimbia
 
Sasa mkuu mtu yupo smart utaachanaje kisa kununa?
Au neno smart unamaanisha kwenye nguo na mwili sio akili?
Mtu yuko smart mtaachanaje? Au yeye anakuacha wewe ndo unakuwa hauko smart hauendani nae sio?
Mtafaruku tu kaka 😂😂😂 nimetolea Mfano mwepes tu
 
Sijui ni nani alianzisha biashara kwenye mapenzi!

Biashara ya viungo vya binadamu itokomezwe Kwa Sheria kali!!
 
Kama hizo hela ndio mmngekuwa mnawekeza kwenye biashara
Mngefika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…