X wangu anataka turudiane

Vijana mkishauriwa muwe vizuri kwenye mitishamba mnajifanya mna dini zenu zilizoletwa na wakoloni.... huwezi kukuta kijana aliyezindikwa kimila huko Wampembe analialia hovyo mtandaoni. Kina DADA wako mbele sana kwenye suala zima la mitishamba ndo maana kwa sasa ndo kama wanatawala kwenye mapenzi. Tunalogwa balaa... mimi mwenyewe bado natafakari nimezamaje kwenye penzi la single mama niliyemkuta na mimba changa. Inauma sana ila nikikumbuka mashine ilivyo mnato ninapuuzia maumivu.
 
Kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…