Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,546
Kashaachika huko aliko, anatafuta kiporo chake cha bei rahis akirudie
mzuie mwambie haupendi uQMAHabari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..
Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
Kwa hiyoHabari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..
Wataalamu wamambo na wasubiria hapa