X wangu amemuita mwanae jina langu

Jibu mubashara
 
habari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?


!
!
Je angelipigia puli je?
 
habari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?
Mimi najiuliza ilikuwaje ukawa unatembea na JITU?!
 
BFF$BLF umenikumbusha mbali (best friend forever and best lover forever)
 
Kwani waitwa nani?

Mimi nimetoka na David watatu! Nikipata mtoto nikaamua na Mume wangu kumuuta David hao ma-David watapata bichwa kudhani nimemwita mwanangu hilo jina kwa ajili yao.

Inaweza ikawa ni coincidence tu! Labda analipenda hilo jina ata kabla hajakutana nawe! Au alikua nawe kwa sababu la ilo jina [emoji16]
 
Inawezekana mb*nye yako tamu sana kiasi kwamba imeshindwa kumtoka kichwani... Hongera kwa hilo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…