X mas njema mkienda makwenu!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
50805_01_k_20101222100103.jpg

Mnaoenda likizo safari njema, yasijewakuta makubwa mliozoea mjini kama huyu jamaa yangu.
 
Huyo mnyama ana sura mbaya dah,

Akikufurumisha hivyo ndo ulikuwa unachimba dawa kubwa dah noma kweli kweli
 
Nawatakia wachaga wote Xmass njema. Najua sasa hivi moshi pamechangamka sana. Niliwahi kualikwa na rafiki yangu Mmoja maeneo ya URU kwa kweli ilikuwa burudani..Kwanza siku hiyo watu wote lazima waende kanisani...Wanabaki kina mama wachache kuandaa makulaji...Pia kunakuwa na vijana wanachinja mbuzi kwa ajili ya supu na KISUSIO! Raha kweli Moshi!....Mbege nayo inakuwa haiko mbali saaafi sana Moshi! Mwisho wa Siku mziki Mkubwa unapigwa...AMA REGGEE AU MIZIKI YA AFRIKA KUSINI...Yakina IVON CHAKACHAKA, JELI MAFURA,NTOMBI MARUMBINI,MANEMANE,VULINDELA n.k....................MOSHI RAHA MOSHI WE ACHA..nilitamani nibadilishe kabila
 
Back
Top Bottom