Unitumie namba zake tu mimi tutaelewanaTatizo kubwa ni kwamba tunaishi mtaa mmoja.
Alipata bwana mpya akaniacha kwa matusi na kejeli. Nami nikapata mpenzi alipojua akaanza kumlisha maneno mpenzi wangu kwamba mimi sifai ndo sababu aliniacha. Mpenzi wangu aliponieleza iliniuma ila nikajitetea kwamba anichunguze kama aliyoambiwa ni kweli au la.
Tuliendelea tukawa wachumba, na mwishowe tukafunga ndoa. Lakini huyu x bado hajaridhika,akikutana mtaani na mke wangu anampa mabango,mara atakuacha,mara hafai.
Alipoona mbinu hazijafaulu anaanza kumweleza kuwa eti ninamtaka kimapenzi. Ajabu ni kwamba huyu x naye ana bwana wake.
Hili limemyumbisha mke wangu sana.
Ninajuta kujenga mtaa huu alipo huyu x, mpaka natamani niuze nyumba tuhamie eneo tofauti. Lakini shughuli zangu ziko hapa.
Wakuu hii hali iliwahi kukukuta,ulifanyaje?
mkuu mbona kutatua hili tatizo ni rahisi sanaa? unaweza mfuata mme wake ukaongea nae kiuana ume yakaisha pia unaweza mkalisha mke wako na kumwambia asijempa nafasi ya kumsikiliza kwa lolote maana inaelekea wanakaa wanapiga stori ama anamsikiliza ujinga wake.
kuhama nyumba kisa x ni udhaifu ulopitiliza
Mkeo anapata wapi muda wa kumsikiliza ex wako, what do they have in common ambacho kinawaunganisha mpaka wanakaa wanapiga story...pengine mkeo bado anatamani kujua maisha yako ya nyuma ndio maana anamsikiliza ex wakoTatizo kubwa ni kwamba tunaishi mtaa mmoja.
Alipata bwana mpya akaniacha kwa matusi na kejeli. Nami nikapata mpenzi alipojua akaanza kumlisha maneno mpenzi wangu kwamba mimi sifai ndo sababu aliniacha. Mpenzi wangu aliponieleza iliniuma ila nikajitetea kwamba anichunguze kama aliyoambiwa ni kweli au la.
Tuliendelea tukawa wachumba, na mwishowe tukafunga ndoa. Lakini huyu x bado hajaridhika,akikutana mtaani na mke wangu anampa mabango,mara atakuacha,mara hafai.
Alipoona mbinu hazijafaulu anaanza kumweleza kuwa eti ninamtaka kimapenzi. Ajabu ni kwamba huyu x naye ana bwana wake.
Hili limemyumbisha mke wangu sana.
Ninajuta kujenga mtaa huu alipo huyu x, mpaka natamani niuze nyumba tuhamie eneo tofauti. Lakini shughuli zangu ziko hapa.
Wakuu hii hali iliwahi kukukuta,ulifanyaje?
kamfuate mme wake sasaa, wanaume huwa hatushindwani hata katika mambo ka hayoMke wangu nimesha mweleza kwamba maneno yake ni uongo mtupu. Nami nimempiga stop hata akikutana naye njiani hata salamu asimpe kwa sababu hamtakii mema. Na nilichoona huyu ex ana wivu kuona mimi na mke wangu tunaishi vizuri, tumehamia kwenye nyumba yetu wakati yeye na bwana wake bado wanahangaika na upangaji na hawana ramani ya kutoboa life!
Omba nambaDaaa basi siwezi kukushauri mkuu...nilitaka nimwone kwanza kabla yakutoa ushauri
NakaziaMchawi sio lazima aroge.Mtafute ,ukiwa wee na mke wako.. Alafu mchane laivu, ukikazia maneno haya
"Kama utaendelea kuchokonoa ndoa yangu ,NITAKUHARIBU SURA".
Yeye kua mwanamke, haimpi sababu za kuhalalisha Ujinga anaokufanyia.
Kwa maana hiyo, Nawewe muishi kama Adui.
Sheria ni ngumu ila ni sheria.
🤣🤣🤣🤣Njoo muone "X" nyumba inabomolewa huku!
yeah kwa njia hii, atamkata mdomo Ex , hapohapo anarudisha Imani kwa Mke.Nakazia
Amwite mbele ya mkeo na amweleze ukweli.
Nipe namba yake PM, nimkanyeTatizo kubwa ni kwamba tunaishi mtaa mmoja.