Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa?
Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.
wewe Food engineer ni kijana muongo sana! kumbuka JF sio sehemu ya kuleta habari za uongo uongo!!!!
majuzi hapa umeleta habari za wanafunzi kufumaniwa na lecturer, nimefanya research mpaka SUA nimegundua ni uongo!!!
kijana kabla hatujafika mbali, tafadhali futa kwanza ile kauli, ama, toa maelezo yenye uhakika!!!
habari kama ile ni nyeti, sina imani na wewe Food engineer...
labda tu nataka nikueleze bwana excel kuwa habari ile ni sahihi,ya kweli na ilitokea,na hadi mda huu wale mabinti wamepewa barua za maelezo na chuo kikuu cha sokoine under Prof.Gilla waeleze kwanini wafanye ufuska huo,cha kuongezea nipe ur email niku2mie picha zote za tukio kwani kati ya walioshuhudia mimi food engineer nilikuwepo na nilipata taarifa mapema nikahudhuria kwa sababu mambo hayo yalifanyika karibu na departiment yetu ya food...

Nonsense
kijana zitume.... excelsuperb@gmail.com
Hivi Food Engineer ni housegirl ama???
Kwa hiyo unataka iwe kama zamani vipi? Kuhongwa na kupewa pesa nyingi ama?
naona jukwaa la siasa limekua chungu baada ya kugaragazwa kalenga,,,Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa? Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.
Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza nikamkubalia alinipenda sana ,alinipa fedha sana,nilianza kumpenda pia,Lakini 2liachana with no reason nilimuomba turudiane alikataa,cha kushangaza baada ya mda mrefu kutokuwasiliana jana kanipigia simu anataka nimsindikize sehemu....JE NIFANYEJE??je,nikamweleze hisia zangu kwake na kuwa ninataka iwe kama zamani??ushauri please.
naona jukwaa la siasa limekua chungu baada ya kugaragazwa kalenga,,,
embu kamalizia live update yako ya uchaguz kule maana iko pending,,
tuache vijana na mapenz yetu we mtu mzima ujana wako ulikua miaka ya uhuru uko,,tehe