X anataka tufunge ndoa

X anataka tufunge ndoa

Nina hakika zipo sababu za msingi zilizokufanya usimuoe huyo X. Je, sababu hizo kwa sasa bado zipo au zimepotea? Endapo bado zipo tafadhali kaa chonjo. Usije ukawa unasukumwa na tamaa za ngono au upweke ukajikuta unaoa, halafu baadaye ukaja kujuta.
 
Alikua na demand nyingi enzi za ujana,yaani hakosi fiesta, motorola ya kufunua,lakini wazungu wanadai 'over time, people change'
 
Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba

Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa
Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua na mahusiano tofauti mengi tu,sasa nadhani kachoka kuishi peke yake,ananisihi tufunge ndoa,tulete na ngulu mbili kama watatu hivi ndani ya miaka kumi ijayo
Kinachonikwaza ni kinyaa,idadi ya wamba walioshindilia mitarimbo kwenye tundu lake takatifu, tofauti na hapo najua hakuna hatari yoyote kwa wanangu, ukizingatia roho mbaya za wanawake kwa watoto wa kufikia..na kulala peke yangu nimechoka
1000285438.jpg
 
In reality they never change,
Akishakutia mkononi atakushangaza sana
Yupo kwenye 35,hajabadilika kweli!?.. maana juzi nimeona maimartha Jesse kumbe kaolewa,kama mai kaolewa kweli huyu hawezi change!?.. nasikia wanakuwaga wamenyooka,full heshima na mahaba
 
Usioe huyo mwanamke mkuu, ukitaka kufa mapema umfuate mkeo na uwaache hao watoto yatima basi muoe huyo mwanamke. Wanawake wa salooni ni pasua kichwa, hapo anatafuta pa kuponea achana naye huyo..

Kwa hali yako nakushauri usioe mwanamke msomi au mwenye mambo mengi, tafuta binti mdogo wa kijijini awe mama wa nyumbani tu akulee wewe na hao wanao
 
Binti mdogo atanisumbua siku si nyingi
 
Muoe, furaha ni yako...
Angalia furaha yako...

Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Ushauri wangu.
Tafuta "wife material" mwingine wa kuoa. Achana na mashangazi ya mjini. Huyo X wako ashakuwa mshangazi aliyekubuhu!
cc; Mshangazi Mshangazi dot com
Eti mshangazi uliokubuhu 😅😅, Tony usitutafute maneno mashangazi.

gallow bird wewe oa pale ambapo roho inapenda, hicho kinyaa cha hao aliowapitisha kwenye kitundu chake mbona kawaida tu na wewe si umesuuza rungu lako kwenye matundu mengine pia, au?
 
Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba

Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa
Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua na mahusiano tofauti mengi tu,sasa nadhani kachoka kuishi peke yake,ananisihi tufunge ndoa,tulete na ngulu mbili kama watatu hivi ndani ya miaka kumi ijayo
Kinachonikwaza ni kinyaa,idadi ya wamba walioshindilia mitarimbo kwenye tundu lake takatifu, tofauti na hapo najua hakuna hatari yoyote kwa wanangu, ukizingatia roho mbaya za wanawake kwa watoto wa kufikia..na kulala peke yangu nimechoka
sijamaliza Uzi miaka 40 huna na ni uongo lkn km kweli unayo basi Anza kuomba msamaha kwa wenzio wenye age km yako maana unawaaibisha
 
Unaona miaka 40 mingi sana siyo!!?.. endelea kucheza mapiano ghafla 40 hii
 
Eti mshangazi uliokubuhu 😅😅, Tony usitutafute maneno mashangazi.

gallow bird wewe oa pale ambapo roho inapenda, hicho kinyaa cha hao aliowapitisha kwenye kitundu chake mbona kawaida tu na wewe si umesuuza rungu lako kwenye matundu mengine pia, au?
Mimi siyo sana
 
Back
Top Bottom