X anataka tufunge ndoa

X anataka tufunge ndoa

Yupo kwenye 35,hajabadilika kweli!?.. maana juzi nimeona maimartha Jesse kumbe kaolewa,kama mai kaolewa kweli huyu hawezi change!?.. nasikia wanakuwaga wamenyooka,full heshima na mahaba
Hivi unawajua vizuri madada (aka mashangazi) wa mjini wewe?

Ex wake siyo wewe pekee broo. Siyo ajabu mpo 70+ na kila mmoja anapasha kiporo kwa wakati wake. Utapigiwa hadi kero!

Kwamba Mai kampata jamaa fulani itakuwa ni kweli, ila muda si mrefu huyo mwamba atajikuta kikaangoni
 
Ilibaki hivi tu 🤌 nizame pm kwako nikidhani ni mrimbwende according na avatar uliyoweka.!!!
Dah,
Mi nimeshangaa pia mkuu.
Mie kilichookoa jahazi ni pale nilipoona kwenye mijadala ya SIASA jamaa ni mtetezi lialia wa mafisadi akanichefua. Bila hivyo ningezama kitambo
 
Dah,
Mi nimeshangaa pia mkuu.
Mie kilichookoa jahazi ni pale nilipoona kwenye mijadala ya SIASA jamaa ni mtetezi lialia wa mafisadi akanichefua. Bila hivyo ningezama kitambo
Sitetei fisadi,nipo kwa maslahi mapana ya nchi,ukikua utanielewa
 
Yupo kwenye 35,hajabadilika kweli!?.. maana juzi nimeona maimartha Jesse kumbe kaolewa,kama mai kaolewa kweli huyu hawezi change!?.. nasikia wanakuwaga wamenyooka,full heshima na mahaba
😁😁😁 ahaaa hapa hamna mtu atafuata ushauri wetu, huyu ataoa.
 
Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba

Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa
Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua na mahusiano tofauti mengi tu,sasa nadhani kachoka kuishi peke yake,ananisihi tufunge ndoa,tulete na ngulu mbili kama watatu hivi ndani ya miaka kumi ijayo
Kinachonikwaza ni kinyaa,idadi ya wamba walioshindilia mitarimbo kwenye tundu lake takatifu, tofauti na hapo najua hakuna hatari yoyote kwa wanangu, ukizingatia roho mbaya za wanawake kwa watoto wa kufikia..na kulala peke yangu nimechoka
Ukimchunguza Bata haumli
 
Back
Top Bottom