WWE Superstar of the year 2013 ni....

Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
The wwe superstar (mieleka) wa mwaka huu ni daniel bryan, ndio katangazwa sasa, kweli jamaa anafaha sana (waliopambana naye ni bigshow, john sena, rko, cm punk)

SOURCE: etv
 
Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
and the best match of the year, ni kati ya john cena na the rock, ambayo john cena alishinda wwe champion ndio kachukua sasa
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,309
2,000
ilikua bonge la mech na iliwaingizia pay kubwa sana,zaid ya dola mil 12 na mashabk zaid ya elf 80.
 
gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,218
1,500
The wwe superstar (mieleka) wa mwaka huu ni daniel bryan, ndio katangazwa sasa, kweli jamaa anafaha sana (waliopambana naye ni bigshow, john sena, rko, cm punk) SOURCE: etv sasa.

hivi hawa Etv
kuna siku huwa wanaonyesha Live?
Maana mara nyingi huwa wanonyesha marudio tu!
 
Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
hivi hawa Etv
kuna siku huwa wanaonyesha Live?
Maana mara nyingi huwa wanonyesha marudio tu!

LIVE match hawana kibali hicho, but wanajitaidi kuonesha recorded ilipigwa jana kwa leo au masaa machache yaliopita, ni wazuri sana ni j3,j4, j5, jmoc na pili
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,360
2,000
Duh Daniel amewashinda akina John Cena, CM Punk, Big Show, nk. Wh

Jamani Ray Misterious yupo wapi siku hizi? The Animal naye simuoni wala akina Resna. Hao wote wapo wapi?
 
Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
Duh Daniel amewashinda akina John Cena, CM Punk, Big Show, nk. Wh

Jamani Ray Misterious yupo wapi siku hizi? The Animal naye simuoni wala akina Resna. Hao wote wapo wapi?

Ray aliteguka mkono, now karudi na yuko poa sanaaa.
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
14,905
2,000
Duh Daniel amewashinda akina John Cena, CM Punk, Big Show, nk. Wh

Jamani Ray Misterious yupo wapi siku hizi? The Animal naye simuoni wala akina Resna. Hao wote wapo wapi?

Tarehe 20 ya mwezi ujao the Animal atatambulishwa tena...
 
delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,007
2,000
Nyie vp muwe mnadownload bana huyo Daniel bryn katangazwa tangu Nov mwishoni wenzenu kila j4 tunaona raw ya jana na smackdwn tunaona siku hy hy Friday tena kwa simu cheki 02tvseries.com
 
Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
Nyie vp muwe mnadownload bana huyo Daniel bryn katangazwa tangu Nov mwishoni wenzenu kila j4 tunaona raw ya jana na smackdwn tunaona siku hy hy Friday tena kwa simu cheki 02tvseries.com

through etv wametangaza leo na ndio tv ya watanzania weng kuona, www.02tvseries.com sio wote wana access na huko ata kupitia www.wwe.com wameweka leo.. Poa kamanda
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,419
2,000
The wwe superstar (mieleka) wa mwaka huu ni daniel bryan, ndio katangazwa sasa, kweli jamaa anafaha sana (waliopambana naye ni bigshow, john sena, rko, cm punk) SOURCE: etv sasa.

Yaani hadi nimesahau... siku ile natizama live ilikuwa ni lini wewe unadai muda huu..... wacha kutizama recorded then unakuja fasta ati lol lol lol
 
Mzawa wa tanzania

New Member
Dec 23, 2013
3
0
Nyie vp muwe mnadownload bana huyo Daniel bryn katangazwa tangu Nov mwishoni wenzenu kila j4 tunaona raw ya jana na smackdwn tunaona siku hy hy Friday tena kwa simu cheki 02tvseries.com

Nim kweli kaka, mbona kama wiki mbili zishapita tangu brayan alishatangazwa muda sana, zaid ya wiki mbili sasa tangu atangazwe pia ilkuwa kabla ya X-mass. Inaelekea huwa hawaonyeshi live. Huwa wanaonyesha live kupitia channel ya Abudhab 6 kila j4 sa 12 jioni. Inaelekea hata ujio wa batista kurudi kwenye game bado hawajaiskia hyo. Pia hata game ya bryan na RKO amabyo ilivunjika nayo bado hamjaiona.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom