Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Hahahaaaaa. ILibidi waanza kupiga ving'ora tu kuhamasisha raia wajifiche, huku hawana cha kulifanya kombora la NK. Inashangaza sana kwa kweli. Kuna tamko japan ulitoa ikaseam itatungua kombora lolote la NK litakalopira ana yake. Sasa imedhihirisha kuwa ni maneno tuSi nasikia kuna THAAD kule Japan ilikuwa imelala
Tumia akili wewe,Utatumia $2mil kudungua kopo tupu lisilo na kitu?.Au hujui N.K wanatest deliivery system bado hawajaweza ku fix warhead?.Sasa udungue hayo makitu ili iweje?.Sasa kama walishaya detect kabla hata hayajarushwa,walishindwa kujadungua?.Na hizo kauli za kuanza kuyadungua kwa kutumia PAC-3 wamezitoa juzi baada ya hii test.Huwezi angamiza milions of $ kudungua makopo,Unless ur stupid.Hahahaaaaa. ILibidi waanza kupiga ving'ora tu kuhamasisha raia wajifiche, huku hawana cha kulifanya kombora la NK. Inashangaza sana kwa kweli. Kuna tamko japan ulitoa ikaseam itatungua kombora lolote la NK litakalopira ana yake. Sasa imedhihirisha kuwa ni maneno tu
Na ving'ora vilivyota tahadhari watu wajifiche vilikuwa na manufaa gani sasa?Tumia akili wewe,Utatumia $2mil kudungua kopo tupu lisilo na kitu?.Au hujui N.K wanatest deliivery system bado hawajaweza ku fix warhead?.Sasa udungue hayo makitu ili iweje?.Sasa kama walishaya detect kabla hata hayajarushwa,walishindwa kujadungua?.Na hizo kauli za kuanza kuyadungua kwa kutumia PAC-3 wamezitoa juzi baada ya hii test.Huwezi angamiza milions of $ kudungua makopo,Unless ur stupid.
Acha panic,tuonyeshe video ving'ora vikilia na watu kujificha mapangoni.Au hujui ving'ora ni kama fire detectors?.Its automatic,siyo mtu ana press Bro.Acha povu tumia na akili kidogoNa ving'ora vilivyota tahadhari watu wajifiche vilikuwa na manufaa gani sasa?
usitumie tumbo kufikiri
Ukiweza kutengeneza na kurusha ndege tupu bila abilia na ikafanikiwa, iweje ishindwe kufanikiwa ikiwa na raia?Tumia akili wewe,Utatumia $2mil kudungua kopo tupu lisilo na kitu?.Au hujui N.K wanatest deliivery system bado hawajaweza ku fix warhead?.Sasa udungue hayo makitu ili iweje?.Sasa kama walishaya detect kabla hata hayajarushwa,walishindwa kujadungua?.Na hizo kauli za kuanza kuyadungua kwa kutumia PAC-3 wamezitoa juzi baada ya hii test.Huwezi angamiza milions of $ kudungua makopo,Unless ur stupid.
Sawa,point yangu ni kwamba,hayo madude yakirushwa huwa final target inaonekana kabisa,In that case,hakuna ulazima wowote kutumia mil of $s wa ku shoot down kitu ambacho final target ni baharini.Ukiweza kutengeneza na kurusha ndege tupu bila abilia na ikafanikiwa, iweje ishindwe kufanikiwa ikiwa na raia?
Hapo jambo kubwa lishatimia lavkurusha hayo madude. War head ni kama amilia tu katk ndege(roketi)
Sawa,point yangu ni kwamba,hayo madude yakirushwa huwa final target inaonekana kabisa,In that case,hakuna ulazima wowote kutumia mil of $s wa ku shoot down kitu ambacho final target ni baharini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si nasikia kuna THAAD kule Japan ilikuwa imelala
View attachment 578035 View attachment 578033 HIi range ni hatari sana, wajapan walibidi wajifiche kwenye magofu. Mh!
Usitumie bangi kufikiria kama nchi lazima wananchi wake wapewe taarifa na tahadhari!!Na ving'ora vilivyota tahadhari watu wajifiche vilikuwa na manufaa gani sasa?
usitumie tumbo kufikiri
Hahahaha aiseee mpaka raha yani kinachoendelea hukoView attachment 578035 View attachment 578033 HIi range ni hatari sana, wajapan walibidi wajifiche kwenye magofu. Mh!
Lakini sio kwa ballistic missiles... Labda hypersonic missilesKumbuka ya kuwa missile sio projection ya kawaida (yaani mfano unapopiga mpira au kurusha jiwe, katika angle flani ni mwendokasi (velocity) flani ya kuanzia) basi utaweza kutabili range(surface distance) husika ikiwa physical conditions zote kama joto presha upepo na kadhalika ukizingatia.
Missiles zinakuwa na injini ambazo zinakontroliwa na kompyuta, inaweza kutoka katika trajectory husika na kupiga tageti nyengine.