WTF fact

mara kadhaaa yan imepitiliza hiyo yako
 
Mara ya pili na umri ushaenda duh..
 
source?
manake hao scientists sioni tofauti yao na waganga wa kienyeji

kwanza wao kama wao hawakuwa wana-fall in love, zaidi ya ku-fall kwenye experimentations zao maabara!

namkubali mr Albert Einstein, hapa alihitimisha kuwa, ''gravitation has nothing with falling in love''!..
 
nahisi mimi nimefika mara ya 50!.. duh!

hizi fall fall hizi ntakuja nishindwe kuamka kwa midondoko!

cc mpenzi wange miss neddy na rafikiye 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
kwanza wao kama wao hawakuwa wana-fall in love, zaidi ya ku-fall kwenye experimentations zao maabara!

namkubali mr Albert Einstein, hapa alihitimisha kuwa, ''gravitation has nothing with falling in love''!..

Love sucks
Big time sucking
HIT N RUN


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hahahahha wewe ni mkongwe kunako hiyo fani uiifikia umri wa asprin itakuwaje sijui

nikupe trailer yangu ya kwanza?..

nilishawahi kumtokea mwalimu wangu dadeki nikiwa form 5! madam alikuwa mrembo huyo wacha kabisa!

alikuja field kutoka UDSM!... she was very beautiful..
 
Kweli mkuu!.. nowadays ukijifanya unapenda kutoka moyoni, unaumia!

---- em bitches
Hamna hata wife material siku hizi wote ni WI-FI shared kila range


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nna ril luv sanaa myoni bt wth money...pipo r being used en money r being luvd nwdayz...... #luv z mther----er
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…