Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
source?
manake hao scientists sioni tofauti yao na waganga wa kienyeji
lakini hayo ni makadilio sio exact number ya ku-fall in love ..... inategemea.... wengine mara moja .... wengine hata mara buku.... na wengne hata hawajawahi na wameoana.....
au mkuu tupe "vigezo mama" walivotumia mpaka wakasema mara saba.....
Scientist estimates that You"ll fall in Love seven times before you get married......unaweza ukapima mwenyewe uko mara ya ngapi ku fall kabla ya ndoa yako...!
Mi nshaoa na kabla ya hapo nili fall in love mara 18
Ku fall in love maana yake nini?
Ku fall in love maana yake nini?
kunaweza kuwa na maana nyingi kutegemea na mazingira ya mhusika
Bado hujajibu nilichouliza .....!!
ukivuka 7 je???
ukivuka 7 je???