Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Hivi ni kawaida kweli kusikia eti mwanaume anamkatalia Demu wake Ku Dooooo mpaka waoane. Kama wewe Ni mwanamke ukanyimwa penzi na jamaa yako mlozoeana sana kwa kutumia hii sababu utahisi nini? Na je kama ww ni mwanaume mshkaji wako akaja akakwambia kamnyima penzi demu wake hadi wafunge ndoa utahisi nini?
Is it just me or its obvious?
Is it just me or its obvious?