Woyooo Demu wangu anarudi

Ukitaka kujua kama hakuwa salama, muulize uko tayari kurudi Arabuni?

Lini umepanga kurudi huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ulichofanya, kama kweli una mchumba, kitakukost [emoji23][emoji23][emoji23]
Yatakukuta kama yaliyomkuta Chris Mauki huko Insta baada ya kutangaza kurejea kwa mkewe toka safari nje ya nchi.
 
Bila shaka demu wako atakua mrangi maana manzi wa kabila hili ndio wanapenda sana kwenda kuwa mabeki 3 huko middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…