Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Yule bilionea wa Kimarekani aliyekuwa anatuhumiwa na makosa lukuki ya kufanya ngono na wasichana wadogo walio chini ya umri, kajiua akiwa lupango.
R. Kelly akituhumiwa kwa makosa hayo hayo, baadhi ya watu wanalia ubaguzi.
Ni vyema wakamweka Bw. Robert chini ya suicide watch.
Haya sasa. Epstein mzungu huyo....kaona isiwe tabu. Kaona kesi hawezi kushinda. Kaamua kujiua akiwa jela akisubiri kesi yake.

Jeffrey Epstein, accused sex trafficker, dies by suicide: Officials
Jeffrey Epstein was facing federal sex trafficking charges.
www.google.com