Wow Another Friday

Wow Another Friday

duuuh nilikuwa wapi sijui....itakuwa ameinjoy sana live band pale....daaaah Paloma mbona hukunistua kidizain?

namwona Bishanga analalama apo juu...

mwambie awe anakuachia basi..........manake nilikustua sana lakn ukawa hupatikani!!!
Bishanga anatia hurumaaaaaa...........................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom