Wow Another Friday

Wow Another Friday

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Mashostito na madadiito jamani anther Friday.

Am in Dodoma right now. Jioni Master Pub kwa sana tu.

Nawamiss woote. isipokua figganigga coz sitaki ugomvi na huyo sijui anajiita Heaven on earth.
 
Last edited by a moderator:
Mamaa ya Furahi Dei...jambo wewe?

Wape hi wana Idodomya...
 
1236723_568562969846726_94390983_n.jpg
 
Mh.. vivian kwa kupotea na kuzuka.....Karibu tulikumiss mamito!
Mkirua maisha ni kutafuta dadii. Naingia sehemu zingine hata nework ya simu hakuna. Life is so nice myfriends.

Sitaki kuuza sembe natafuta chapaa kihalali wangu. So nikipotea bare with me. ila huwa nawamiss sana jamani tena sana.

Nikirudi Dar Next week nitapenda kukutana na most of you guyz. Nitaweka number zangu za simu hapa coz nawapenda sana
 
Karibu sana mamito umesomeka, Kuhangaika na life ndio mpango mzima;
Karibu sana dar ukija usisahau kunipelekea notification aisee.
 
Tuko pamoja Mkirua.

Kesho natanga Dar but I will be playing the gwara gwara somewhere.
 
Last edited by a moderator:
am cool dadii!!! so collected and relaxed, How is your friday my dear?

Furahi dei ipo kul lkn ndio namalizia viporo vya mkoloni hapa...

Hivi hilo bata la Dom huwezi lituma hapa CC keki ya taifa tuile wote?
 
vivian.
Mwisho wa wiki ni mwanzo wa Burudani.

Kula bata hata hadi kuku wa Andamane.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom