Wounded Love

Wounded Love

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
759
Wana jamvi habarini za majukumu,

Kwa wale tuliotekwa na kuangalia tamthiliya pendwa ya Wounded Love inayoonyeshwa na Azam Two, sasa ipo ukingoni.

Ni muigizaji na tukio lipi lilikuvutia katika tamthiliya hiyo?

WL.jpg
 
Naona kabisa hii tamthiliya imefika the end! Jevdet & aziza wameuwawa....Sasa Leone kasahau kwao sababa ya penzi!
 
Back
Top Bottom