Would you wash your boyfriend/girlfriend clothes?

Would you wash your boyfriend/girlfriend clothes?

Kwahiyo kumtunza ni kumfulia?? Yeye akifua anakufa?? Kama mie ni mkewe nitamfikiria ila kama ni boiflendi tu, hapana kwakweli atanisamehe, nakuja usiku then asubuhi na mapema nasepa.
59209909.jpg
 
Teh Teh
Watu huwa wana kosea sana kufanya mambo yanayo takiwa kuwa yanafanywa kwenye ndoa ... Sasa ndio maana hawazipati ndoa maana kuna kuwa hakuna kipya!

Na haya mambo hufanywa sana na wasichana...

Na sisi tunaokataa kujishughulisha tunaonekana sio wa kuolewa
Sijawahi kujipa kazi zisizo zangu....nikiolewa ntafanya tu lakini kwasasa hapana
 
By the way,don't get me wrong. I will not wash as he sits on the sofa scratching his Lord knows what or downing beers.

He will make lunch or entertain me with some strip tease.

exactly..none should feel obliged doing some house chores. At least entartain me while am helping u washing your clothes...
 
Aaah wapi wewe

Enzi zile...wala sijisogezi aisee

Tena akiingia jikoni namwambia chakula chako kitamu.... pika cha kutosha

Kazi pekee ni kupeleka vyombo jikoni...

Vitaoshwa saa ngapi hayanihusu



mimi huwa nawapenda wenye misimamo kama wewe...utajikuta unafua,unapika,unadeki mpaka unajishangaa nini kimekukuta...na wala hamna siku nitakuomba ufanye chochote kati ya hivyo ila utajikuta unafanya tu.
 
mimi huwa nawapenda wenye misimamo kama wewe...utajikuta unafua,unapika,unadeki mpaka unajishangaa nini kimekukuta...na wala hamna siku nitakuomba ufanye chochote kati ya hivyo ila utajikuta unafanya tu.

Hehe,tena usiponiomba sitokuja fanya.....sijui lakini maybe you have a charm that makes them do wat they do,can't judge
 
Wanawake mnaongea tu hapa, mara nyingi hata hakuna anayekwambia fanya hili au lile bt huwa mnaamua tu kufanya kiroho Safi

Me huwa vigumu Sana kufua au hata kupika ila Kwa ke iko very common, mostly because they want men to feel their absence once they are not around

Sio hata kiroho safi ni kutaka kumconvice mwanaume that she is a wife material,ukimkuta kwake ni mvivu hata hafanyi hayo yote.....

Mbona zamani mama zetu hawakuwa na haya mambo na bado waliolewa
 
We brenda18 na yule paulo sijui nani nani huko ni ndugu? Maana huu unyanyapaa naona mnao damuni aisee, yaani raha yenu kuona watu tunaumwa vichwa humu ndani au?

Hahahaa atoto kuna siku nilikufuma unamwaga kidhungu cha rasi simba hadi nikazima....sasa endelea kunizuga hivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Don't play me like that now, i was arguing your case. You're past that phase, no?!

Okay, let's talk that bf/gf phase. There are still bills to be covered, actually more bills than in any other phase. Rendezvous and what not. Birthday parties. A lot of other nonsense expenses. And if i wanna own it all, there comes the bride-price. All that is on me, and i'm cool. But when you guys do something for us, it's gotta be quid pro quo? Can't we all just do our parts and live happily ever after??

So I have to wash simply because of the outings you take me to,bday parties and so on....
Really????
 
Mbona vitu vingine hata havina mjadala ni wajibu Wa mwanamke kumsaidia mmewe yaani ni p=3.14 kama kufua ,kupika, etc
 
One thing i know about myself is, i am one disorganised son of a lady (that's from a woman's point of view). My mum used to sing that to us (me and my brothers) all day long. Now, if any woman can stand that, that means she's lazy and lacks style & taste, therefore she ain't the one.

So if you get a pass to my place, better take charge ASAP. 'less you want to end up with the memory that you was once a visitor.

Am a very organized lady...so for my first visit to find your place is a mess is a total turn off...
At least pretend to be neat until wen am deeply in love maybe I can tolerate😊
 
Back
Top Bottom