Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Reality is better than being fake..... so , All is wellooh sorry for bring too honest......
Reality is better than being fake..... so , All is wellooh sorry for bring too honest......
Bahati mbaya huwa somo hili wasichana wengi hawalielewi huja kulielewa baada ya kuachwa solemba!Umeona eeeh
Mambo ya kujifulisha kujipigisha deki na kujipikilisha wakati ni girlfriend tu kwa kweli a big NO!!!!
Hayo majukumu mpaka aoe
Gf akimtembelea BF ni.mwendo wa dudu tu.....
Kufua atajijua
A bf /gf setting?
Bills?
Seriously??
We brenda18 na yule paulo sijui nani nani huko ni ndugu? Maana huu unyanyapaa naona mnao damuni aisee, yaani raha yenu kuona watu tunaumwa vichwa humu ndani au?
Natiaje huruma hapa sasa!! Nitafsirie basi
Yaah they won't, haha African men would rather die than wash for their lovers lol
Yeah man, but a special visitor. If i invite a chick to my place, she'll only have that visitor tag for a day or 2. After that, she better start making sure there's is a major difference between when i'm alone, and when she's around. Or else there won't be no point of her keep coming.
Inategemea na aina ya mwanamke mdogo wangu. Kuna wengine anaweza kudhani umerogwa 🙂:A S 13:Teh teh but why won't u wash for her.....at least once try and see how she will react..am sure she will be happy..
Ooh c'mon why would she do all that...is that the base of your relatnshp???I will play the visitor part until marriage
Haha nimeshakuotea mara kadhaa, ila bado unabisha tu. Haya bana.
Kwahiyo ndio hunitafsirii??
Haha haya mama, maana utalalamika kweli. Upi mtazamo wako katika kufuliana nguo kati yako na boyfriend wako?
Mambo si ndio hayo sasa!!
Yaani ananifulia na mimi namfulia? Hapo sawa ila sio mimi tu ndio nifue, yaani nitakuwa naunwa kila siku.