Would you wash your boyfriend/girlfriend clothes?

Would you wash your boyfriend/girlfriend clothes?

Fanya jambo kutokana na mapenzi yako, usifanye jambo kufata mkumbo.

Kama unamfulia au haumfulii liwe uamuzi binafsi.

Hakuna anayetumia mashine Wote mnatumia mikono; kwahio sio swala la mwanamke au mwanaume kama wote mnasaidia ndani ya nyumba.

Utamaduni wa zamani mama zetu walikaa nyumbani kufanya kazi za ndani ni swala linakubalika.

Sasa wote tunaenda kazini kwahio ni muhimu kama mtu hana mashine au mfanyakazi wa ndani mkajikusanya mkaosha nguo zenu huku mnataniana na kusimama mnaenda kupiga game mnarudi kumalizia na mnaendelea.

Kama swala la kupika. Gf/mkeo anapika sio lazima huwe mbali, nenda jikoni pale pale unampa maneno matamu, unammchezea wala hawezi kuona kupika adhabu.


Tatizo tunafata mkumbo. Kuna njia nyingi sana ya kuimarisha mapenzi.


Jibu kwa swali lako , fanya unachokiona wewe ni sawa.

unastail kusifiwa kwa ushauri mzuri ulotoa.... mtu hutakiwi kuishi maisha ya mwingine
 
Mahusiano Ni Kumfanya Mwenzako Akuone Wa Kipekee Evry Time, If Do Tht Make Him Or Her Feel Ur So So Specl Why Nt!
 
As they do say "no one is perfect" He got some other faults n sometimes I feel like moving out of this relationship, But his care keeps me back, Imagine natoka kibaruani nakuta nimefuliwa, nimepikiwa, nguo ananishonea..he is a tailor...nshasahau kupapaswa kiuno na mafundi mtaani.

Huwa najiuliza ntampata wapi kama huyu? The only answer is I ve to Stay....!
 
Simply because you are a man so it becomes noo
What happens with your manhood if you help her wash at least once in month

You did not mention that ts once per month......u just said washing..also even if its once per month it should be due to passion n intimacy but not being told or being just a routine ........manhood does not change no matter what ts just man created his own way n a woman another way charcater traits differ
More over if its a routing washing i say again BIG NOOO..........
 
Back
Top Bottom