Lizzy umenipa akili... Ila hiyo balance sio rahisi kupata...
Hapo juu ulipo sema kuhusu majukumu ni kweli kabisa.
Mi naona siri ya mapenzi ya kabla ya ndoa ni ile spontaneity na kule kufurahia the moment you live, hata kama hamna chochote. bahati mbaya mkisha oana basi, yanaisha. spouses wengi wanakua focused sana kwenye pesa, na mara nyingi wenye future. Hakuna ubaya ila usipo furahia tulicho nacho sasa hivi hata hicho unacho vizia kutata kesho huto furahia. Na hapo ndipo unaona mmoja anaanza kutafuta a spontanious friend wa kupoteza mawazo...
BTW, if I was a dude I would marry you too, I love challenging minds. lol
Kama hakuna perfect spouses angalau kuna ideal spouse na unamtafuta yule alie karibia ideal wako, au? na huto hatakiwi kua leo mcheshi na mtundu, anapenda kutoka na rafiki zake au zako, anapenda club, alafu ghafla kesho awe wa ndani tu sababu ya ndoa.
Kama hakuna perfect spouses angalau kuna ideal spouse na unamtafuta yule alie karibia ideal wako, au? na huto hatakiwi kua leo mcheshi na mtundu, anapenda kutoka na rafiki zake au zako, anapenda club, alafu ghafla kesho awe wa ndani tu sababu ya ndoa.
Wanawake wanarespond hivo sababu wanaume nao wanabadilika na kua money and future oriented. unaweza kufanya mipango ili akija usiku akute bonge la surprise ila unashangaa anakuja late, tena anakwambia amesha kula huko aliko toka, strait anaingia kulala... ukiona hivo mara mbili mara tatu na wewe unakata tamaa and that is the end of it...Hapo makubaliano na maelewano yanahusu sana.
Kuna watu wanaotegemea/taka mkishaoana mambo ya washkaji na mashoga yakome. Ni vizuri mkajulishana vitu kama hivi mapema ili ukiingia unaingia ukiwa umejiandaa sio mnashtukizana mara baada ya honeymoon. Maana ikiwa hivyo ndio mwanzo wa mmoja kuona mwenzake anataka kumcontrol na kupunguza amani nyumbani.
Alafu Mwali wasingekua wanapenda utundu uendelee wasingekua wanaenda kuutafuta nje. Tatizo ni wanawake ndo hua wanasitisha kwa kuona kwamba hauhitajiki tena.
Thanks Gaijin.Baki kama ulivyo, akikuchagua hivyo hivyo poa kama hajataka his loss
Mwali, mara nyingi hutokea wanaume huoa mama zao...................................Kwa kawaida sisi tumeathiriwa na malezi tuliyopitia, kwamba tumeaminishwa nini katika swala zima la uhusiano na ndoa.
mmh umeongea point mkuu.Kabla sijaamua kushika moja nimeathirika sana na hii dhana...Binti niliyeweka kichwani kwamba anafaa kua mke frankly alikua ni mpole na yet ni mpole,mtiifu,mwenye hulka njema na vingine vingi ambavyo napenda...hakuwah kujiassociate na club ama anasa nyingine za kufanana na hizo...Lemme go one step ahead...nilihofu kuendelea nae kwa kua kuna nisingekua mwaminifu so far kuna mambo mengine ningeogopa kumshirikisha hivyo nikafanya uamuzi wa kiume...Nikaingia msituni kusaka na eventually nikameet na mama Gaude whom ni kila kitu kwangu...Ni mke hasa inapokuja point ya kuwa mke,ni kimada so far yale yanayowakimbiza wanaume kwenye nyumba zao anayo...Presentable hivyo naweza kusimama mbele ya youth na kusema "she is the one"....My take ni kwamba tambua unachokitaka na kufanya uamuzi wa busara kuepuka fedheha ndani ya nyumba ama sononeko ambalo lingefaa kupatiwa ufumbuzi kabla ya commitment...
Kabla sijaamua kushika moja nimeathirika sana na hii dhana...Binti niliyeweka kichwani kwamba anafaa kua mke frankly alikua ni mpole na yet ni mpole,mtiifu,mwenye hulka njema na vingine vingi ambavyo napenda...hakuwah kujiassociate na club ama anasa nyingine za kufanana na hizo...Lemme go one step ahead...nilihofu kuendelea nae kwa kua kuna nisingekua mwaminifu so far kuna mambo mengine ningeogopa kumshirikisha hivyo nikafanya uamuzi wa kiume...Nikaingia msituni kusaka na eventually nikameet na mama Gaude whom ni kila kitu kwangu...Ni mke hasa inapokuja point ya kuwa mke,ni kimada so far yale yanayowakimbiza wanaume kwenye nyumba zao anayo...Presentable hivyo naweza kusimama mbele ya youth na kusema "she is the one"....My take ni kwamba tambua unachokitaka na kufanya uamuzi wa busara kuepuka fedheha ndani ya nyumba ama sononeko ambalo lingefaa kupatiwa ufumbuzi kabla ya commitment...
Obby (usinichape) kuna watu hua wanasema ni vizuri wanaoona wakatofautina. Yani badala ya mlevi kuoa/olewa na mlevi mwenzake atafute mtulivu, mpenda klabu atafute mtulivu n.k . Ila ukweli ni kwamba wakiwa wanatofautiana kama usiku na mchana , nyeupe na nyeusi ni ngumu sana kupata balance kwasababu mmoja anakua anapenda sana kitu wakati mwenzake anakichukia sana. Matokeo yake mtulivu anaona hatendewi haki na mwenda klabu anaona hivyo hivyo akiombwa asiende. Mimi ningependa watu wawe wanahakikisha kwamba hawatofautiani kupitiliza ili mara moja moja wakutane katikati. Mpenda club alione tabu kuwepo nyumbani weekend, ana asiyependa sana asione tabu kuongozana na mwenzake mara moja moja.mmh umeongea point mkuu.
ishu ni kwa mwanamke na mwanaume kujua wanataka wenza wa aina gan.
usitegemee ww mwanaume mpenda kwenda club sijui lots of out going ukaoa mtu asiyependa hayo mambo et kisa wife material afu utegemee utatulia huyo lazima utakuja kumgeuka uko ndoan yan.
hata ww mwanamke ww unapenda iv ukaolewa na wa iv kisa hubby material mmh uko kwenye ndoa atakuboa na matokeo yake ndio izi lawama hapa.
jua unataka nn, all in all perfect couple yan 100% haipoge, maisha yanabadilika na watu tunabadilika ivo muhimu ni kwenda tu na hayo mabadiliko lolz.
If I am just perfect as myself, would you marry me?