Would you marry me?

Hahahaha. . . Karibu ntakufikia Rub (usinichape)

Hehehehe crazy right?
Mtu anatakiwa ajue role ya jikoni sio ya sebuleni na ya sebuleni sio ya chumbani. Sio mtu anajifanya analeta heshima chumbani, kubadili nguo mpaka afunge mlango na ufunguo. Taabu tupu kwa wababa wa watu.

mlango tu?unaweza hata ombwa utoke eti ' nataka kuvaa'....mbav!!hebu pafanye chumbani kwetu pawe mahala natamani kuwepo kila wsakati,hata nikiwa kazini nipawaze!....eti heshima!! heshima chumbani!? tena mi na wewe tu!?...inashawishi maovu hii!!
 
mlango tu?unaweza hata ombwa utoke eti ' nataka kuvaa'....mbav!!hebu pafanye chumbani kwetu pawe mahala natamani kuwepo kila wsakati,hata nikiwa kazini nipawaze!....eti heshima!! heshima chumbani!? tena mi na wewe tu!?...inashawishi maovu hii!!

Hahahaa mlango unafungwa ili usiingie ukamkuta anavaa. . hehehehehe!!

Ehh jamani si nyie mnapenda kuheshimiwa? Kuheshimiwa kwenyewe ndio huko, unaruhusiwa kugusa na sio kuona.
 
Hahahaa mlango unafungwa ili usiingie ukamkuta anavaa. . hehehehehe!!

Ehh jamani si nyie mnapenda kuheshimiwa? Kuheshimiwa kwenyewe ndio huko, unaruhusiwa kugusa na sio kuona.

hivi wanawake wa hivi sijui hata huwa wanawaza nini!!lkuheshimiwa sio huku bana liz.kesho ukasikia nimechukua hela tuliyopanga kununulia bati nimeenda kupata experience ya pole dance kwenye strip club utaanza kulia!??lazima mwenendo uwe tofauti kulingana mmazingira.unakuta mtu anaingia kulala na mgauni wake wa kulalia mgumu kama turubai la Morogoro Canvas,wakati zipo alizonunuliwa zingeweza kuwa mfano!....sijui makusudi!??
 
hivi wanawake wa hivi sijui hata huwa wanawaza nini!!lkuheshimiwa sio huku bana liz.kesho ukasikia nimechukua hela tuliyopanga kununulia bati nimeenda kupata experience ya pole dance kwenye strip club utaanza kulia!??lazima mwenendo uwe tofauti kulingana mmazingira.unakuta mtu anaingia kulala na mgauni wake wa kulalia mgumu kama turubai la Morogoro Canvas,wakati zipo alizonunuliwa zingeweza kuwa mfano!....sijui makusudi!??

Hahaha ni heshima bana.

Ili hiyo heshima ya chumbani isiwepo inabidi mkishaingia kwenye ndoa (maana ndio wengi hubadilika haswa baada ya kuzaa) uwe unamsifia na kumfanya ajue/aone kwamba bado anakuvutia hata kama tumbo limepambwa na stretch marks. Maana hua wanapoteza kujiamini kwa kuona kwamba hawana mvuto tena, sasa na wewe ukiwa unamwambia tu "siubadili hapo hapo, kwani nisochokijua nini" badala ya kumshawishi kwamba unataka kumuona lazima muanze kuheshimiana barazani mpaka chumbani. Na ndo hapo mambo ya kunyimana yanapoanzia. . .

Alafu kuhusu mavazi yale makubwa makubwa na magumu hua yanatumika kuficha kile wanachoona hakivutii tena kuonyeshwa. Kazi kuwaaminisha wenzenu kwamba bado wamo.
 
If I was a 'dude' maybe. . .lolz

Nwy. . Binafsi nadhani mtu anaweza akawa na zote, za mke na za girlfriend, za mume na za boyfriend. Tatizo ni kwamba wengine wakishaingia kwenye ndoa hata kama mwanzoni walikua exciting, fun, sweet, caringand wild chumbani basi wanaacha kwasababu wanaona hawahitaji tena kuwa walivyokua kwasababu ndege yupo tunduni tayari. Maisha yanaanza kurevolve around 'bills' na 'pesa za matumizi'. . Simu zikipigwa/text zikitumwa sio za 'umeshakula mpenzi? Nimekumiss!! Nakupenda!! Jana ulifanya siku yangu nzuri sana!!" ni za "Ile pesa mbona hukuacha? Hao walevi wenzako ndio muhimu ehhh? Mi naenda kwa shogangu??Sitorudi nyumbani leo! Sina pesa" n.k

Maisha yanakua stressful tena bila mtu wa kusaidia kuzipunguza kwasababu mtegemewa ndie anaesababisha. Sauti (tone) ndani ya nyumba inabadilika, unyumba leo huyu akimnyima mwenzie kesho mwingine nae anakataa, mama anamwachia kila kitu housegirl wakati kipingi cha 'upenzi' alikua analazimisha akamsafishie mwanaume chumba kila wiki na kumpikia hata weekend, mama anaona kitanda hakitoshi (kidogo anabanwa) wakati kipindi cha upenzi alikua analalamika ni namna gani anahisi upweke usiku, mwanaume akitoka kazini anaenda kupata kinywaji kwanza kwasababu kukutana na mke bila kinywaji ni mwanzo wa maumivu ya kichwa wakati kipindi cha upenzi alifanana na mtu asiyekunywa na mengine kama hayo.

Watu hua wanadai kwamba majukumu ndio yanayowabadilisha ila mimi nasema hapana. Majukumu yanaweza yakambadili mtu kidogo na sio kumfanya awe mtu mwingine kabisa kama ilivyo kwa baadhi ya watu.

Maintain a lil bit of you crazy self, your silly self, your sweet self, your charming self, your caring self, your wise/smart self, your generous self and enjoy life. That way your man/woman will enjoy having you just aswell.

Thanks Lizzy and noted !
 
Jamani.... Jamani.....Jamani.... Mbona hivyo!

Mwenzenu sijaoa, mtanifanya nisioe kabisa ninaongopa hayo matatizo kwa sababu sipendi ugonvi, sipendi kumchukiza mwenzangu.
 
Hot topic
I think expectations, roles and responsibilities ndo may be zinatumika kutenga hayo makundi tajwaha
1. wakati wa ujana wengi wetu huwa tumegubikwa na mambo ambayo yanatupa furaha hata kama si ya msingi sana kwa maisha ya kifamilia kama starehe kwa mfano sasa wengi huwa tunaogopa kuingia maishani wa wapenzi wa ujana kwa hofu kwamba anaweza akaendeleza libeneke hata mkiwa kwa ndoa so hapo ndo hayo makundi huanza kutajwa na kupewa nafasi kwa maamuzi

2. Suala la mpenzi wako kubadilika na kuwa mke mtarajiwa ni gumu kubashiri kabla ya ndoa na ndo maana kwa bahati mbaya wanaume wengi hukaa na galfriend ilhali anajua fika hatamuoa wakati b dada akijua kuwa kwa kukaa muda mrefu ni dalili nzuri kwa ndoa.............mara katoswa....jamaa kampiga chini......kamchinjia baharini etc

3. Wanawake wengi if not all hupenda kuolewa na family man (familia kwanza) sasa akiwa na boyfriend lyfist huwa anafikiria sana kama huyu kweli atatunza familia kwa starehe hizi na utapanyajiwa fedha huu??? So naye atakula bata hapo na usishangae proposal ikawa denied as hataki mtu ambaye anaendekeza maisha ya nje kuliko uhalisia wenyewe

4. Kuolewa the way yu are is very possible lakini yu must b very kean kwenye recipe yako jua kuna wenye diabetese, hypertension na kadhalika.......I mean yu must strike a fine balance wakati wa boyfriend/galfriend relationship ili upate uchumba na mwisho ndoa

5. Sisi wote ni waoga kuumizwa kwenye mapenzi ndo maana kila mtu hataki kupata mcharuko wa ujanani bana.....as unaujua vema ukichaa wake n thus we all go for mild characters ambao tumewapa jina la husband or wife material
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom