Would you marry a non believer?

Hata kama ni msamiati
hainizuii kugundua kuwa tutakuwa na msukumo tofauti katika kurithisha tunachoamini.

Tatizo letu wengi hata "secular humanism" ni msamiati, sasa kuelewa idea nzima inakuwa mgogoro.
 
Hata kama utawaexpose kwa imani za wengine, lakini msisitizo utakuwa katika kile unachoamini wewe.

Hivi hadi kuwa muumini wa kundi fulani maana yake si umeona lenyewe ni bora kuliko mengine? Umeoana lina majibu ya maswali yako kuliko wengine?

Kusema kuwa utamwacha leo mtoto aende huku, kesho kule, wewe uko kwingine, kiuhalisia sijui inakuwaje.

Kikubwa ntamfundisha kuheshimu imani za watu wengine na kuishi nao accordingly.

Kwa hiyo kuwafundisha unachoamini kiwazuie na wao kufumbua macho na akili zao kuchimbua kuhusu wanachoamini wengine? Ukiwa unamfundisha hizo nyendo zako na imani na sala na Mungu wako utamwambia huyo ndo wa kweli pekee na wengine wamepotea so your kids shouldnt even bother?


Fortunately wazazi wangu walikuwa waumini wa kanuni ya independent investigation of the truth therefore I was exposed to the teachings of other religions other than theirs...
 
Hata kama utawaexpose kwa imani za wengine, lakini msisitizo utakuwa katika kile unachoamini wewe.

Hivi hadi kuwa muumini wa kundi fulani maana yake si umeona lenyewe ni bora kuliko mengine? Umeoana lina majibu ya maswali yako kuliko wengine?

Kusema kuwa utamwacha leo mtoto aende huku, kesho kule, wewe uko kwingine, kiuhalisia sijui inakuwaje.

Nini maana ya kurithi?

mtazamo wa ubora wa ninachokiamini haukifanyi kiwe bora na kwa wengine watoto wangu wakiwemo.
 
Kabla sijaendelea, naomba nikuulize, imani yako kwa sasa ni tofauti na ya wazazi wako?

Au niulize, kwa nini Saudi arabia ina waumini wengi wa imani hiyo?

Au kwa nini Spain ina waumini wengi wa imani hiyo?

Nini maana ya kurithi?

mtazamo wa ubora wa ninachokiamini haukifanyi kiwe bora na kwa wengine watoto wangu wakiwemo.
 
Kabla sijaendelea, naomba nikuulize, imani yako kwa sasa ni tofauti na ya wazazi wako?

Kwanza sijui mwenzetu imani ina maana gani. Imani kwako ni sawa na dini?

Kama si sawa, wengi wa watu hawarithi imani za wazazi wao kamwe
 
Hili ndo huwa kosa mara nyingi katika mahusiano, hasa wanawake.
Anaolewa akidhano atambadili mwenza kwa yale asiyoyapenda.

Si rahisi kihivyo kumbadili mtu hasa mabo ya kuamini.

Unaoa imani au mtu?
Waweza mfanya aamini mwishowe!
 
Hili ndo huwa kosa mara nyingi katika mahusiano, hasa wanawake.
Anaolewa akidhano atambadili mwenza kwa yale asiyoyapenda.

Si rahisi kihivyo kumbadili mtu hasa mabo ya kuamini.

Halelujah!! Kongosho huu ni ukweli ambao wanawake wengi wanajitahidi kuufumbia macho.Goooood!!!
 
kwani swali la msingi tumeulizwa imani gani?

Kama ni kuamini uwepo wa Mungu ndio imani inayozungumziwa hapa, basi si kweli kuwa wazazi hurithisha watoto wao imani hiyo

Ukifika nchi za Magharibi utalielewa hili kirahisi sana
 
Hata kama ni msamiati
hainizuii kugundua kuwa tutakuwa na msukumo tofauti katika kurithisha tunachoamini.
As a couple mtaongea na mtajua tu mnataka kuwaleaje.
Mbona kuna couple za mkristo na mwislam, na bado wanalea watoto?
Cha msingi mtoto awe open kwa kujifunza na kujadili. ajue kwanini anaamini/haamini
Hakuna kitu kibaya kama mtu kujifanya ana imani wakati haelewi imani yake

Mimi niko tayari kuanza na msingi wa moral values, ukarim, utu etc
Then mtoto akiwa mkubwa achague kama anataka kutoa shahada/kubatizwa
au achague kutoamini, au kuamini Mungu yupo but achague kutomfata.
After all vitu vya imani ni vitu binafsi, Mbele ya Mungu hatuendi kama familia
 
][/B]Kama mzazi wako akikwambia usioe au usiolewe na mvuta bangi ...is he/she discriminating?
Asiyea amini kuwa kuna amri jeshi mkuu ,kuna utaratibu wakufuatwa ktk life battle ,,,,,, hana guarantee huyu mtu...

Mkuu discrimination ni kubagua watu wa group fulani, class au category badala ya kuangalia merit au character ya mtu.., hivyo basi kama mvuta bangi anavuta bangi na kuwa chizi, muhuni au kama mtu ni mlevi kupindukia atakuwa hafai kuwa partner (character yake ni mbovu)

Lakinii kama mvuta bangi anavuta na kuji-control kama baadhi ya jamaa ninaowajua au watu huko Jamaica then hata mimi sitajali kuwa na mke anavuta bangi.. (so long as hawafundishi watoto kuvuta bangi na haimletei madhara sana wala haivutii karibu yangu na kuwa kero sababu ya harufu, pia tamshauri aache sababu ni illegal inaweza ikampeleka pabaya)

You see my friend I judge a person as a package (knowing everyone as weaknesses, so I try to accommodate them), lakini kama mwisho wa siku character ya mtu inafaa then I will happily live with them
 
You hit de point mkuu....

Mtu asiye na imani anaweza kukuua hata kwa sumu....

si anajua kuwa akisha kufa na yeye hakuna tena hukumu

Duh unbelievable !!!!
Hivi wewe unafanya mema kwa kuogopa hukumu ?, na sio kwa upendo wa jirani yako na kutokana kusababisha pain ?

Basi wewe ni kwamba ni mbaya naturally ila uoga ndio unakufanya usifanye u-psycho. Na hivi nikikwambia the most wars, mauaji na mabaya karibia yote yalisababishwa na imani utabisha ?, kawaulize wote kuanzia kwenye Holy war, (kina Galileo kufungiwa, na Socrates kuuliwa) mpaka kufikia issue za Bosnia, Al Shabab na mpaka kina Osama (yalisababishwa na nini kama sio imani)
 
Atawafundisha kutokuamini. Sio kweli kwamba hana cha kuwafundisha watoto.

Nilikuwa najibu swali la watoto wafundishwe nini kuamini au kutokuamini, nikasema kama mmoja anacho cha kuwafundisha watoto (imani) basi ni bora awafundishe (after all wote ni wazazi) kuliko ambae haamini akataze wasifundishwe (so long as mafundisho yanafundisha mema) after wakikua at least watakuwa wanajua ni nini kipo kwenye imani hio so they can choose to follow it or discard it
 
Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?

Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi
Mkuu hivi hizi ni kanuni ambazo wanafata watu wanaoamini dini au wanafata watu wowote wema na wafata sheria.., sitapenda kuwa na partner yoyote ambae ni muuaji, msinzi au muongo, na sio kweli kwamba wanaoamini wana hati miliki ya kufanya hao..., any good human being follow this Kanuni believer or non believer...,

Issue ni kwamba a label..(ya kwamba huyu ni Hindu, Muslim au Christian) kisiwe kigezo cha kupata rafiki, rather a person should be judged on merits and character (matendo yake speaks louder than a label of dhehebu au imani fulani)
 
wawarithishe wakati wao wenyewe wako fifty fifty?

Wanaipa dini umuhimu gani??

Ndo maana nikasema inategemea na umuhimu mzazi unaoipa hiyo imani yako ndio nguvu itakayokusukuma kuwafundisha wanao.

Huwezi wafundisha kwa msisistizo kama ww mwenyewe uko mguu mmoja ndani mwingine nje.

Hata huko magharibi wapo wanaohitahidi watoto wao waelewe wanachoamini na hata kufanya kazi hizo hizo, angalia mtoto wa Billy Graham, au yeye si wa maghaibi?

Kama ni kuamini uwepo wa Mungu ndio imani inayozungumziwa hapa, basi si kweli kuwa wazazi hurithisha watoto wao imani hiyo

Ukifika nchi za Magharibi utalielewa hili kirahisi sana
 
wawarithishe wakati wao wenyewe wako fifty fifty?

Wanaipa dini umuhimu gani??

Ndo maana nikasema inategemea na umuhimu mzazi unaoipa hiyo imani yako ndio nguvu itakayokusukuma kuwafundisha wanao.

Huwezi wafundisha kwa msisistizo kama ww mwenyewe uko mguu mmoja ndani mwingine nje.

Kwa nini unadhani ni muhimu kuwafunza kwa msisitizo?
 
@mwali

siwezi sema ndio au hapana kwa ulichojibu.

Wewe unaona poa tu, muoane mkristu/mwislam/asiyeamini as long as kuna morals, values na utu.

Rejea, umeishi/umekulia katika mazingira gani? Yalikuwa na mwingiliano huo? Au umekuwa exposed kwenye maisha ya style ipi?

Exposure yako ndio inayokufanya uipe imani yako umuhimu kiasi gani. Vivyo hivyo ndio nguvu utakayoitumia kuwafundisha watoto wako.

A strong believer(uliosema awali extremist) atamfundisha mtoto wake kwa umuhimu huo huo, moderate naye atafundisha kwa nguvu moderate na a weak believer halikadhalika atawafundisha kwa nguvu ile ile.

Ili uweze oa/olewa na a non- believer inategemea wewe kwako imani ina umuhimu kiasi gani. Sidhani kama ni suala la kwamba wasioamini ni watu wabaya sana.
Nao wana miiko yao kutokana na general common sense za maisha tu.
 
Back
Top Bottom