Would you allow your best friend....???

Would you allow your best friend....???

hiviiii....................huo utakwua ni ugonjwa gani Boflo?!?!?!?

Hata mimi najiuliza Paloma, na kama ukiwepo basi wale wazinzi watakuwa wanatamani waugue huo ugonjwa wakati Bf / Gf wao hawako karibu
 
Kwani unakuwa umezini wewe si mwenzako?

Kaunga ukibariki tendo lolote lile ambalo linamkashifu Muumba ni kuwa ni wewe umetenda maana umedhamiria..................kwahiyo kuzini, unazini moyoni na kutenda hilo ulilodhamiria linakuwa tayari lilikwisha nakiliwa siku nyingi kwenye black buku la Muumba tangia ulipodhamairia kumkashifu Muumba..........
 
Kwani unakuwa umezini wewe si mwenzako?

Kaunga ukibariki tendo lolote lile ambalo linamkashifu Muumba ni kuwa ni wewe umetenda maana umedhamiria..................kwahiyo kuzini, unazini moyoni na kutenda hilo ulilodhamiria linakuwa tayari lilikwisha nakiliwa siku nyingi kwenye black buku la Muumba tangia ulipodhamiria kumkashifu Muumba..........na uzinifu tajwa! Maana umebariki dhambi tajwa....
 
You are very right, Rev Fr.
Kaunga ukibariki tendo lolote lile ambalo linamkashifu Muumba ni kuwa ni wewe umetenda maana umedhamiria..................kwahiyo kuzini, unazini moyoni na kutenda hilo ulilodhamiria linakuwa tayari lilikwisha nakiliwa siku nyingi kwenye black buku la Muumba tangia ulipodhamiria kumkashifu Muumba..........na uzinifu tajwa! Maana umebariki dhambi tajwa....
 
Over my dead body hey I will not alow that thing to happen across my eyes let him or her die anha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Boflooooooooooooooooooooo!!!!

Hapo itakuwa ngumu kwani kama amepangiwa afe siku hiyo atakufa tu ila kama hajapangiwa kufa siku hiyo hatokufa.
Yanini kumkosea MUNGU kwa mambo ya ajabu tena uliyoyaridhia mwenyewe?

Ukiruhusu ndo itakuwa mwanzo wa kutengeneza mazingira ya kusalitiana baina yako na mwenzi wako.
Maana kwa kawaida asali haionjwi.
 
Maandiko yanasema anayeiokoa nafsi yake ataipoteza ila anayeiua nafsi yake kwa ajili yangu[Yesu]ataipata so i'd rather let my mpenzi die innocent mblele za Mungu ili aje apate uzima wa milele kulio kujaribu kuokoa uhai wake wa sasa ambao ni mfupi tu,tena kwa njia ya kumkosea muumba wake.
 
Huyo rafiki yako naye atakuwa tayari?
na hilo gonjwa litakuwa ni jipya sana hilo na litaleta mtafaruku ktk familia nyingi.
 
your boyfriend or girlfriend
is seriously sick and the
only solution is sex or
else he or she dies in
the next 30 mntz and
which is confirmed by the doctor and you are
not available but your
best friend is there.
Would you allow your
best friend to have sex
with your boyfriend or girlfriend?
who cares????
 
Boflo huu ni ugonjwa gani unaotibiwa na MSOLOPAGANZI tu, na mtu akiukosa ndani ya nusu saa anakufa?
Mi namwacha afe tuone.
Isije ikawa dokta na mshikaji wana mipango yao mingine tu ya kutaka kummega cacico wangu
Your boyfriend or girlfriend
is seriously sick and the
only solution is SEX or
else he or she dies in
the next 30 mntz and
which is confirmed by the doctor and you are
not available but your
best friend is there.
Would you allow your
best friend to have SEX
with your boyfriend or girlfriend?
 
Last edited by a moderator:
hakuna ugonjwa kama huo otherwise doctor analake jambo
 
Hata mimi najiuliza Paloma, na kama ukiwepo basi wale wazinzi watakuwa wanatamani waugue huo ugonjwa wakati Bf / Gf wao hawako karibu


endapo kungekuwa na vijidudu basi watu wangeji inject - hakuna kucheza mbali na bf/gf
lol!
 
Kaunga, between you and me, I have been reading my Bible.........and putting to use what i have learnt, too!

Napenda sana, hasa hiyo ya mwisho (living the Word), huo ndio Ukristu. Maana reading au knowing the Word hata shetani anaijua. I am still struggling with living IT.
Kudos.
 
Back
Top Bottom