Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

Watanzania tu ndo wanapenda kukata tamaa namna hiyo. Kwa wamarekani, Baba wa miaka 60 ndo anajiona yupo kwenye prime age kabisa maana anajua ana miongo mitatu ya kuishi. Kulikoni eti niwe na miaka 40 nianze kuwaza mambo ya kufa
Life expectancy ya USA ni miaka mingapi? na Tanzania ni mingapi? Namba hazidanganyi.
 
Back
Top Bottom