Wote kwa pamoja kama Taifa tuungane katika uzalendo 9 Disemba, 2017

Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
Wapendwa Tarehe ya kesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.

Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili

Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.

Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.

Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
 
Attachments

 • IMG-20171208-WA0018.jpg
  File size
  81.3 KB
  Views
  33
 • IMG-20171208-WA0005.jpg
  File size
  73.5 KB
  Views
  29

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,179
2,000
Wapendwa Tarehe ya kwesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.

Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili

Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.

Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.

Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
AFADHALI YA MKOLONI,
Unadhani ni Afadhali Ukoloni Urudi Tena Afrika?
 
Kwisense

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
281
500
Wenzetu kwanza waliotekwa na kupelekwa kusikojulikana tungefahamu hatima yao, lakini kuongelea uzalendo pasipotanguliza ubinadamu ni kazi bure.
Moja ya rasilimali muhimu kwenye taifa lolote ni rasilimali watu, pasipo kujali watu wako ni sawa na kutoheshimu wazazi wako kwamba utapata Neema za Mwenyezi Mungu
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,329
2,000
Kila nikiangalia picha hii ya mgombea udiwani alivyopigwa mbele ya polisi uzalendo unanitumbukia nyongo, nendeni wenyewe uwanjani.
diwan.jpg
diwn.jpg
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,497
2,000
Uzalendo hauombwi wala kushurutishwa.. Vita ya Uganda, kuna watanzania waliojitolea malori na mabasi yao kusafirisha wanajeshi wetu kwenda mstari wa mbele vitani bureee na bila ya kushurutishwa.. Kwa sababu waliona na kuwaamini viongozi wao.. Viongozi wao walikuwa wanaongoza kwa maneno na vitendo..
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
Uzalendo wangu uko kwa Taifa sio huo uzalendo wa kisisiem na harakati za kununua wapinzani wenu wa hoja na wazalendo wa kweli kutaka kuwaua."HUO NI UZALENDO WA MASHUZI'.
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
LEO TUNAONGELEA TAIFA NA SIO VYAMA
KUMBUKA TAIFA LETU LINA WATU WENGI KWASIO WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA NA UKIJUMLISHA HAO NA WENYE VYAMA BASI NDIO UNAPATA WATANZANIA NA NDIO WANAOADHIMISHA SIKU HII.

HII SIKU NI YA WOTE KAMA AMBAVYO UHURU ULIPATIKANA KWA AJILI YA WOTE
 
The Valiant

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,829
2,000
Wapendwa Tarehe ya kwesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.

Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili

Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.

Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.

Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
Aisee naenda hospitali.nimepata homa ya ghafla na kutapika pia
 
The Valiant

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,829
2,000
Kwamba unaongelea umoja
Na uzalendo ambao kwa tafsiri yenu ni kujiunga na ccm
LEO TUNAONGELEA TAIFA NA SIO VYAMA
KUMBUKA TAIFA LETU LINA WATU WENGI KWASIO WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA NA UKIJUMLISHA HAO NA WENYE VYAMA BASI NDIO UNAPATA WATANZANIA NA NDIO WANAOADHIMISHA SIKU HII.

HII SIKU NI YA WOTE KAMA AMBAVYO UHURU ULIPATIKANA KWA AJILI YA WOTE
 
The Valiant

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,829
2,000
LEO TUNAONGELEA TAIFA NA SIO VYAMA
KUMBUKA TAIFA LETU LINA WATU WENGI KWASIO WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA NA UKIJUMLISHA HAO NA WENYE VYAMA BASI NDIO UNAPATA WATANZANIA NA NDIO WANAOADHIMISHA SIKU HII.

HII SIKU NI YA WOTE KAMA AMBAVYO UHURU ULIPATIKANA KWA AJILI YA WOTE
Not yet uhuru
Kuna watu bado kwenye nji hii wanabaguliwa
Wengine wanaonekana hawana haki
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Uzalendo sio vyama wala siasa za vyama. Pamoja na kuwepo na mapungufu mengi ktk nchi lakini haindoi uwepo wa uzalendo kwa nchi Uzalendo ni mojawapo ya way out kusolve haya matatizo.
 
kuwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
819
500
Mzee hizo lawama za kununuliwa wa upande wa pili sio rushwa? Au ni ada ya uhamisho wa timu za kisiasa? RUSHWA NI RUSHWA TU MPOKEAJI NA MTOAJI WOTE NI JELA..!!!
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Uzalendo ni neno pana.Ni pamoja na Uhuru na haki za RAIA.Uhuru na Haki za kuchagua viongozi tunaodhani wanatufaa.Ni pamoja na haki ya kuthaminiwa kama RAIA halali wa Taifa husika na binadamu kamili bila kujali itikadi,ukanda au uwezo wa MTU.Uzalendo ni utu.

Taifa letu kwa sasa hakuna hayo hivyo si rahisi kuuona uzalendo wa kila RAIA.Uzalendo Leo ni kusifia,kuabudu watawala.Uzalendo ni kuua wengine sababu wametupinga,uzalendo ni kuchomekea kesi wengine sababu wametuzidi kipato au ajili.

Uzalendo leo ni lazima uwe CCM.

Ni bora nisiwe mzalendo
 
Kosa kubwa mnalofanya ni ubaguzi na kutumia makosa ya wahalifu ambao ni wanasiasa wa upinzani na kuuageuza agenda za Kuchafua Nchi kwa madai potofu kuwa Upimzani unaonewa wanatiwa ndani nk.

Mbona ambao wana kesi kutoka Chama tawala ni wengi sana na wako ndani lakini hamsikiko mkilalamika kuwa na wao wameonewa??? Au Uhalifu wa upinzani ni halali lakn kwa CCM ni haram????

Tunaposema Uzalendo hatuyaangalii haya ambayo ndioyo uanayoleta ubinafsi na kuwpotosha Umma waichukie nchi yao.
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
Uzalendo sio vyama wala siasa za vyama. Pamoja na kuwepo na mapungufu mengi ktk nchi lakini haindoi uwepo wa uzalendo kwa nchi Uzalendo ni mojawapo ya way out kusolve haya matatizo.
Umenena vema.
Uzalendo ni jambo la utaifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom