Wote kwa pamoja kama Taifa tuungane katika uzalendo 9 Disemba, 2017

Kama ni kweli wazalendo basi waseme wazi kuwa Uhuru tuliupata usiku wa tarehe 11, tarehe 12 ni siku ambayo watu walipumzika kusherekea Uhuru waliopata Jana,

Sawa na nchi ichukue kombe la dunia rais hawezi tangaza mapumziko siku ya mechi yenyewe,
 
Kosa kubwa mnalofanya ni ubaguzi na kutumia makosa ya wahalifu ambao ni wanasiasa wa upinzani na kuuageuza agenda za Kuchafua Nchi kwa madai potofu kuwa Upimzani unaonewa wanatiwa ndani nk.

Mbona ambao wana kesi kutoka Chama tawala ni wengi sana na wako ndani lakini hamsikiko mkilalamika kuwa na wao wameonewa??? Au Uhalifu wa upinzani ni halali lakn kwa CCM ni haram????

Tunaposema Uzalendo hatuyaangalii haya ambayo ndioyo uanayoleta ubinafsi na kuwpotosha Umma waichukie nchi yao.

Umeongea kwa sababu umeamua kuongea.Nimeongea kwa kuwa ni namna yangu ya kutafsiri Uzalendo.

Hakuna ubaguzi kwenye Uhalifu,ila pale unapombambikia RAIA mwingine kesi kwa sababu mnatofautiana mawazo na itikadi ndipo tunauita huo pia ni uhalifu.

Wanaccm mkishaeleqa kwamba Tanzania ni yetu sote iwe Mwanachama wa CCM au Upinzani yeye ni mtanzania na haki sawa na Mwanachama wa CCM kwenye haki ya kugombea uongozi na kuchaguliwa kuiongoza Tanzania, anayohaki ya kuchagua kiongozi anayedhani anafaa.Anayohaki ya kuhoji Serikali iliyopo na kukutafakari mustakabali wa Taifa lake.

Pole pia
 
Watanganyika furahini Sisi Wazanzibari tupo katika msiba wa kuporwa uhuru wetu wa tarehe 10dec.1963 Kwa kuvamiwa na Tanganyika na kukamatwa Waziri Mkuu wetu Muhammed Shamte pamoja na mawaziri wake na kufungwa katika jela za Tanganyika bila kufikishwa mahakamani kabla huo uitwao muungano hata haujafikiriwa
 
Unataka tukusaidieje?
Tafsiri yako ni potofu.
Unapodhani au umefundishwa na wapotoshaji kuwa Uzalendo ni kuwa Mwanachama wa CCM na hivyo nahamasisha uzalendo huo kwenye thread hii kwa sababu mimi ni Mtu wa CCM. Huko ni kupotoka

Mimi nazungumzia Uzalendo wa Kitaifa/Taifa

Ni kweli dhana nzima ya Uzalendo ni pana na iko hata kuwa Mwanachama mtiifu wa Chama fulani cha Siasa iwe ni CCM,CDM au vingine kote huko kuna Uzalendo wake.

Lakini linapokuja suala la Utaifa sote bila kujali rangi,kabila,dini au itikadi za kisiasa tunabaki kuwa kitu kimoja bila kijali tofauti zetu za ndani. Na hii ndio silaha muhimu sana inapotokea adui wa nje anataka kutuvamia au kufanya hila fulani dhidi ua Taifa letu.

Nchi yoyote ambayo Raiya wake hawajui ama hawana Uzalendo thabiti na wa kweli, basi ni rahisi adui kuingia kati na kuibomoa
 
Wapendwa Tarehe ya kesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.

Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili

Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.

Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.

Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
Mumeo umemjulisha
 
Tafsiri yako ni potofu.
Unapodhani au umefundishwa na wapotoshaji kuwa Uzalendo ni kuwa Mwanachama wa CCM na hivyo nahamasisha uzalendo huo kwenye thread hii kwa sababu mimi ni Mtu wa CCM. Huko ni kupotoka

Mimi nazungumzia Uzalendo wa Kitaifa/Taifa

Ni kweli dhana nzima ya Uzalendo ni pana na iko hata kuwa Mwanachama mtiifu wa Chama fulani cha Siasa iwe ni CCM,CDM au vingine kote huko kuna Uzalendo wake.

Lakini linapokuja suala la Utaifa sote bila kujali rangi,kabila,dini au itikadi za kisiasa tunabaki kuwa kitu kimoja bila kijali tofauti zetu za ndani. Na hii ndio silaha muhimu sana inapotokea adui wa nje anataka kutuvamia au kufanya hila fulani dhidi ua Taifa letu.

Nchi yoyote ambayo Raiya wake hawajui ama hawana Uzalendo thabiti na wa kweli, basi ni rahisi adui kuingia kati na kuibomoa
Only if kuna haki katika taifa
 
Back
Top Bottom