Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Wapendwa Tarehe ya kesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.
Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili
Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.
Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.
Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.