NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
Mwalimu pia aliwaachia CCM angalizo: kama CCM itashindwa kutoa uongozi bora wananchi watautafuta kwingineko.Ukijaribu kufikiria upya maneno ya Mwl Nyerere 'Mmi ninang'atuka lakin bila CCM madhubuti nchi itayumba' Maswali mengi yanajitokeza.
Kwa mfano nini alikusudia Mwl kwa neno CCM madhubuti? Ndio hii CCM tulionayo au nyingine? Je alikusudia chama chochote madhubuti au lazima CCM. Je manono yake bado yanafanya kazi ktk wakati tulionao na maswali mengine mengi.
Tujaribu kuchukua wakati kidogo kuyatathmini maneno ya Mwl upya na tutoe maoni yetu kwa maslahi ya taifa letu.
Siku nyingine subiri kwanza umalize menstruation period ndio uanze kutoa comments zako jamvini. Yaani katika text yote umeona neno kung'atuka tu?Kwanza kabisa, unajuwa maana ya Kung'atuka? fikiri uje na jibu sahihi na si la kubabaisha.
Nadhani Faiza kapata jibu linalompasa.Siku nyingine subiri kwanza umalize menstruation period ndio uanze kutoa comments zako jamvini. Yaani katika text yote umeona neno kung'atuka tu?
Siku nyingine subiri kwanza umalize menstruation period ndio uanze kutoa comments zako jamvini. Yaani katika text yote umeona neno kung'atuka tu?
Kwanza kabisa, unajuwa maana ya Kung'atuka? fikiri uje na jibu sahihi na si la kubabaisha.
mimi nashangaa hawa wanaohangaika na kile kibabu. nchi ilimshinda karibu kila nyanja, afya, elimu, etc. kaliweza kudhibiti rushwa tu na kulinda rasilimali zetu. The rest was zero.Kwanza kabisa, unajuwa maana ya Kung'atuka? fikiri uje na jibu sahihi na si la kubabaisha.
wengi hawaelewi maana ya kung'atuka. aka ni vilaza wa neno hiliKwanza kabisa, unajuwa maana ya Kung'atuka? fikiri uje na jibu sahihi na si la kubabaisha.
Siku nyingine subiri kwanza umalize menstruation period ndio uanze kutoa comments zako jamvini. Yaani katika text yote umeona neno kung'atuka tu?
Kwanza kabisa, unajuwa maana ya Kung'atuka? fikiri uje na jibu sahihi na si la kubabaisha.
Siku nyingine subiri kwanza umalize menstruation period ndio uanze kutoa comments zako jamvini. Yaani katika text yote umeona neno kung'atuka tu?
Ukitaka kujuwa maana ya kung'atuka ni rahisi sana, kwanza ujuwe "kung'ata" kama umesha juwa kung'ata ni nini basi ujuwe Nyerere alitung'ata na baada ya kuona hii mijitu hata unapoing'ata yenyewe badu tu ipo "ndiyo baaaba" akachoka kung'ata, unaing'ata mijitu kwa miaka zaidi ya ishirini yenyewe ipo tu, inakenuwa meno kama vile hawana hisia za kung'atwa, baada ya taya kumuuma aka "ng'atuka". Alikuwa hana jipya jingine taabani kwa kun'gata.
Kung'ata = Kuuma kwa kutumia meno.
Kung'atuka = Kuwachia kuuma kwa kutumia meno.
Hapana. Chimbuko la neno kung'atuka si kung'ata. Neno kung'ata halimo katika lugha ya Kizanaki. Hicho ni Kiswahili cha Gerezani.Ukitaka kujuwa maana ya kung'atuka ni rahisi sana, kwanza ujuwe "kung'ata" kama umesha juwa kung'ata ni nini basi ujuwe Nyerere alitung'ata na baada ya kuona hii mijitu hata unapoing'ata yenyewe badu tu ipo "ndiyo baaaba" akachoka kung'ata, unaing'ata mijitu kwa miaka zaidi ya ishirini yenyewe ipo tu, inakenuwa meno kama vile hawana hisia za kung'atwa, baada ya taya kumuuma aka "ng'atuka". Alikuwa hana jipya jingine taabani kwa kun'gata.
Kung'ata = Kuuma kwa kutumia meno.
Kung'atuka = Kuwachia kuuma kwa kutumia meno.
Hapana. Chimbuko la neno kung'atuka si kung'ata. Neno kung'ata halimo katika lugha ya Kizanaki. Hicho ni Kiswahili cha Gerezani.
Neno kung'atuka asili yake ni Uzanakini maana yake ikiwa ni kuondoka kwenye kiti. Nakumbuka tulipokuwa wadogo wageni wakija nyumbani kama bado umekalia hicho kiti badala ya kumpisha mgeni unaambiwa na mzazi wako "ng'atuka". Torokyo mufwano.

Jasusi,
Kuna watu wanajua kila kitu hata yale wasioyajua....we are on the road to create powerful swahili nation kwa mtiririko huu wa mambo.
Bibie,Mlikuwa mnaving'ata viti kwa mananihii?
Hilo neno ukitaka usitake asili ya maana yake ndio hiyo, linatokana na kung'ata, halafu huko kwa kina Nyerere si unajuwa meno wanayafanya nini? wee kwa kung'ata yale aking'atuka lazima ubaki na majeraha sio ya kawaida.
Ng'ata, ng'atana, ng'atuka, ng'ang'ania. Huwezi kung'atuka ikiwa hujang'ang'ania. Na ndio maana hao wazee walikuwa wanawaambia "ng'atuka" kwa kuwa hata mnapoona watu wazima nyie bado mmeng'ang'ania kung'ata kwa mananihii hivyo viti, wazee hawajakosea walipokuwa wakiwaambia hivyo.