Wosia wa ijumaa

Wosia wa ijumaa

Remote shukran kwa ukumbusho .. msg nzuri kwa siku ya leo
 
Last edited by a moderator:
Tunahusika.?
Kwani wewe Ukifa watakuzika Wima km yule Padri wa kenya?

Basi mi nikadhani Umesilimu kumbe bado kafiri.

Ukoa nafsi yako mkuu wangu.
Huo uliko ni Hatari sana.

mkuu taratiibu mambo yatakaa sawa.
 
Asanti na jazakalla mungu atujalei na tuwe na amani na maisha bora kwa kila tabaka la imani yake
 
Tunahusika.?
Kwani wewe Ukifa watakuzika Wima km yule Padri wa kenya?

Basi mi nikadhani Umesilimu kumbe bado kafiri.

Ukoa nafsi yako mkuu wangu.
Huo uliko ni Hatari sana.

Acha kunajisi Uislamu wewe kafiri mkubwa, watu kama wewe ndiyo mnapaka matope Uislamu ionekane dini ya magaidi kumbe ni makafiri kama wewe. Sidhani uislamu kama unafundisha chuki kiasi hicho.
 
Acha kunajisi Uislamu wewe kafiri mkubwa, watu kama wewe ndiyo mnapaka matope Uislamu ionekane dini ya magaidi kumbe ni makafiri kama wewe. Sidhani uislamu kama unafundisha chuki kiasi hicho.

Kafiri ni yule anaeabudu sanamu km wewe
Na gaidi bibi yako anaeroga watu!

Au we unasemaje?
 
Back
Top Bottom