Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

mi nilikuwa naomba lithanks lako babu mbona mbahili ivo halafu hii signature ubadili basi ifanane na maombiBaba hachaguliwi...........:lol::lol:
Mama hapigiwi kura......watoto siri ya mama.
.:israel::israel::israel:

Hahahaha! Mwaka mupya na mambo mapya....babu for wajukuuz!

Nahitaji kwenda nao mbinguni!
 
mi nilikuwa naomba lithanks lako babu mbona mbahili ivo halafu hii signature ubadili basi ifanane na maombiBaba hachaguliwi...........:lol::lol:
Mama hapigiwi kura......watoto siri ya mama.
.:israel::israel::israel:

Babu anafanya kwa vitendo:

The Following User Says Thank You to Chauro For This Useful Post:

Asprin (Today)

Ila kwenye signecha...we mama yako ulimpigia kura? Baba yako ulimchagua? Una uhakika we ni mtoto wa huyo unayemwita baba?
 
Mzee mwenzangu naona umenikwaza kidogo,

Hebu kwanza nambie....mijadala yenye maslahi kwa taifa inayohusu MMU ni ipi?

Bila kuniweka sawa...basi naomba tuonane 31 Dec 2011!
 
Hommie....ofu topiki kama hizo babu anaziruhusu kwakuwa kuna maslahi kwa babu.

Haya rudi kwenye mada kabla sijakupiga ban.

Unakufa lini maana umedai huu ni wosia? maanake topic yenyewe ni offtopic sasa hapo nimekuwa confused! hahahahaha
 
Mzee mwenzangu naona umenikwaza kidogo,

Hebu kwanza nambie....mijadala yenye maslahi kwa taifa inayohusu MMU ni ipi?

Bila kuniweka sawa...basi naomba tuonane 31 Dec 2011!

Kiongozi huyu amekuja kivingine wenye utambuzi tumeshamtambua janja yake hapa lol ngoja tumkute kwenye MEMKWA atatuambia vizuri..
 
Mzee mwenzangu naona umenikwaza kidogo,

Hebu kwanza nambie....mijadala yenye maslahi kwa taifa inayohusu MMU ni ipi?

Bila kuniweka sawa...basi naomba tuonane 31 Dec 2011!

Kumshukuru Mungu na kutubu tunapotumia tendo la ngono vizuri/vibaya.
 
Unakufa lini maana umedai huu ni wosia? maanake topic yenyewe ni offtopic sasa hapo nimekuwa confused! hahahahaha

Kwa kawaida babu anakufa wakati wowote. umri ushaenda (siyo asprin hommie, stuka)
 
Sasa babu mbona unaleta ubaguzi wa kibaolojia? Sie mabikira wa kiume ujatushauri! Pia bikra wa kike hukuwapa neno?! Au babu wosia umeuandikia gesti? Au sie hatumo kwenye MMU? Babu ee,nasi tupe legacy babu!
 
hapo umenena babu ulishawahi kuona upako ukishuka kati yenu ni pale unapoomba kabla ya tendo na kushukuru baada ya tendo hembu sisitiza wajukuuu zako wajaribu hiki kipengele watarudi na majibu hapa

Kumshukuru Mungu na kutubu tunapotumia tendo la ngono vizuri/vibaya.
 
Sasa babu mbona unaleta ubaguzi wa kibaolojia? Sie mabikira wa kiume ujatushauri! Pia bikra wa kike hukuwapa neno?! Au babu wosia umeuandikia gesti? Babu ee,nasi tupe legacy babu!

Nyie hamna cha kuwaasa kwa maana mnavitumia vikojoleo vyenu inavotakiwa.
 
hapo umenena babu ulishawahi kuona upako ukishuka kati yenu ni pale unapoomba kabla ya tendo na kushukuru baada ya tendo hembu sisitiza wajukuuu zako wajaribu hiki kipengele watarudi na majibu hapa

Wajukuu wengine wabishi sana. Nimewaasa, kama hawatasikia hawataonana na mimi mbinguni. Maneno ya babu ni wosia kwa mjukuu.
 
Hivi majambazi yanasali kabla ya kumtia mtu nyundo ya kichwa eh?

Nlishakuonya tangu mapema, hapa hakuna ofu topiki. Sasa majambazi na tendo la kujamiiana wapi na wapi? Second warning....
 
Mpwa Kaizer habari yako naona upo kwenye maandalizi ya kambi nyingine toka infii na kuhalalishwa hii mpya.

Kheri ya Mwaka Mpya Dark city karibu kujadili rasimu mpya ya babu mewata.

Alafu St. R.R ulinipita pale Hedaru shaaaaaaaaa bila kunitambua
 
babu lugha gani hii kwa wajukuu [
QUOTE=Asprin;1447497]Nyie hamna cha kuwaasa kwa maana mnavitumia vikojoleo vyenu inavotakiwa.[/QUOTE]

mh! ngoja nikavae miwani maana haya macho uchi haya yananipotosha tu hapa
 
Kumshukuru Mungu na kutubu tunapotumia tendo la ngono vizuri/vibaya.

Halafu baada ya hapo taifa linapata katiba mpya, linamalizana na deni la dowans, mgao wa umeme unaisha ..etc etc ...au?

Bado naona nyota nyota Babu mwenzangu..au wewe mambo yako yameenda below 1947?
 
Back
Top Bottom