Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.

Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great thinker bado haijakaa kichwani kwa babu).

Nawashauri ndugu zangu wa MMU kuwa tubadilike na tuache tabia ya kutoa na kujadili mada zisizo na tija kwa taifa letu kama zile za kufurahishwa na harufu za vikwapa, kummega mama mkwe, kupenda avatar za baadhi ya members, kutafuta infii nk nk nk.

Kwa kuanzia naanza mimi kwa kutoa hoja za ki-great thinkings

1. Hivi hatuoni kuwa ni verevere kusali kabla ya tendo la ndoa ili kujiepusha na mabaya kama kufa kwa presha wakati wa tendo, kutomridhisha mwenzako, kumuumiza mwenzako, kumwambukiza mwenzako maradhi au kumgea mimba zisizotarajiwa? (au kufumaniwa kwa wale mainfii)

2. Je haitupasi kumshukuru Mungu baada ya tendo kwa kuzuia hayo hapo juu kutokea?

3. Haifai kumwomba Mungu awaongezee uhai ili mkutane tena na muweze kufanya hayo mawili hapo juu?

Angalizo: Hii ni kwa wale wenye mahusiano ya kudumu.

Kwa wale wa mahusiano ya papo kwa papo hamuhusiki na hizo hoja hapo juu, ila je?

1. hamuoni baada ya kumaliza uchafu wenu mnapaswa kwa pamoja kutubu kwa Mungu kwa maudhi na dhambi mliyotoka kuitenda punde? (Baada ya kuoga, Mungu hapendi maarufu ya ngono). Mnasubiri mkatubu kanisani/msikitini, mkipata ajali kabla hamjafika huko na mkafariki dunia hamuoni mtaingia Jehanamu?

2. Baada ya namba moja hapo juu hamuoni kuwa yawapasa kumwomba Mungu ili ampitishe shetani mbali msirudie tena kuirudia hii dhambi mbaya?


Babu anawapendeni na anarudi zake kitandani.
:drum::drum::drum:
Hivi bado unaendelea kusali au ilikuwa kwa muda maalumu
 
babu ni kila siku ukitaka kufanya ile mambo unasali au ni mara moja tuu siku ile ya honeymoon ndo unakuwa umemaliza sala nzima
 
Back
Top Bottom