Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Mkuu Kusajiliwa kwani ishu?? nikisoma tu hilo jina machale tayari. Usibweteke umeona London kwa mbele. Kwanza iko nje nje ya London, huko Eltham, halafu nikiingia kwenye site tayari jina la 'London' wameli-drop. Nimeangalia nimeona director ni mpopo....alarm bells tayari. Kuna mambo wapopo wanaweza na kuna mambo hawawezi, mpopo kukuuzia education ni uongo.London Capital College Ni Chuo Kilichosajiliwa Au ?
Balaa hiloo....wanaliwa watu hapokwenye site tayari jina la 'London' wameli-drop. Nimeangalia nimeona director ni mpopo....alarm bells tayari. Kuna mambo wapopo wanaweza na kuna mambo hawawezi, mpopo kukuuzia education ni uongo.
Mkuu umeamuaje sasa?Hizo shule zipo nyingi feki. Kuna shule mbili, moja ya mdosi na moja ya ndugu zetu kule afrika magharibi, katika kuongea nao normal chat, si wakanipa offer eti niwe nafundisha course kwao. Yaani wanitengenezee kabisa curriculum ili watu walambe degree.
Balaa hiloo....wanaliwa watu hapo
Mkuu umeamuaje sasa?
Mmoja nilimwambia I will get back to him. Sijamfuatilia. Mwingine huyu wa recently tu hapa 10/07, yeye alisema 'please before you leave, give me your number and lets keep in touch as my college expands'. Nikamwambia poa, ila nikaishia mitini, na nikawashauri wanafunzi niliokutana nao wale kona.
Story inaendelea hapa;
http://www.bbc.co.uk/london/features/my_london/bogus_education/
Nadhani kuna kideo kadhaa......
Shy, kuna website wametaja yenye list ya Colleges zilizo na genuine/accredited qualifications, nikiisikia nitakubonyeza. But my logic is, kama unalipa £6000 usome ki-college ukoko, kwanini usijipinde uhangaike upate another £2,000 uende proper University?Pesa zingine ziongezee kubeba maboksi if need be.
Nzoka, mimi nakushukuru sana kwa thread hii. Kuna offer nimepata ya chuo kijiitacho Birmingham Management Training Institute na ada zao ni chaep kweli na wanakutafutia hadi visa (kwa mijibu ya website yao: www.bmti.co.uk) na nimekuwa nashawishika sana nikajichuklulie MBA lakini naona umenishitua. Naomba tusaidiane; Je, hakuna vyuio accredited vyenye ada nafuu kama alitoitaja Shy?
Baba Emil ngoja nichimbue data zao nitakujibu baadae.Hivi online Degrees zinakubalika Bongo?Nauliza eti jamani kuna chuo chenye contacts zifuatazo hapo chini. Ninataka kusoma online MBA ambayo wanasema itachukua miezi 12 mpaka 16 !!!!??? Je hicho chuo kipo kweli na kinatoa hizo shahada za kweli. Naomba msaada wenu.
Overseas Online Program,
MANAGEMENT INSTITUTE OF CANADA (MIC),
2015 Drummond, #920,
Montreal,
QC,
H3G 1W7 Canada
Mailing address:
PO Box 71,
Succ: B,
Montreal,
QC,
H3B 3J3,
CANADA,
Tel : 1-514 845-9292
Fax : 1-514-845-3628, www.micanada.org Admin@micanada.net
.... Ninataka kusoma online MBA ambayo wanasema itachukua miezi 12 mpaka 16....Je hicho chuo kipo kweli na kinatoa hizo shahada za kweli. Naomba msaada wenu.....
Ibrah, achana na hao. Kwanza nimeenda website yao, link za MBA hazipo, link ya contact haipo....yaani basic things. Kama vitu kama course break-down hamna...unafikiria hao watu wako proffessional vya kutosha kutoa kisomo cha MBA?? More importantly mambo ya Accredition....wamesema under construction. Ila masomo mengine wana course break-down. Hii ina maanisha, wanaweza wakawa wame-specialise katika field zingine, ila kwa tamaa ya pesa na kuona opportunity ndio wanaongezea course zilizo na demand.
Mara nyingi hizi college uchwara, unaweza bahatika na walimu wachache wazuri, ambao ukute wanafanya kazi University, ila wanataka labda wa-compliment mshahara wao...ndio unakuta wanafundisha college hizi. Wanafunzi walio kua wakitegemea waingie shule labda 3 or 4 days, wanajikuta wako darasani 2 days a week. Siku zingine inabidi kubeba maboksi.
Sasa basi, inabidi ujiulize, unataka kuja kusoma au utumie mbinu hii kuingia nchini uangalie mambo mengine? Usinijibu hilo swali.
Maana MBA ni respectable, unaweza ukamaliza MBA ukapata kazi huku. I guarantee you, hutapata kazi ya maana na MBA kutoka college hizo. Unless una bahati gani, network gani, na unajiuza vipi na kisomo hicho.
Ukitaka MBA, kwa bei ya £6000, nadhani mara mia usome UDSM. Kwa UK, labda nenda link hii;
http://www.mba.hobsons.com/service.jsp
Halafu nenda MBA Search link au;
http://www.mba.hobsons.com/mbasearch.jsp
Hapo tafuta Universities za UK.
Accredation; http://accreditation.mbaworld.com/page/accreditedlistall/index.html
Ukishazipata, basi pitia moja moja. Kusema ukweli MBA nyingi ni kama £10,000 kuendelea. Top ones nadhani kama £15,000 hadi £20,000.
Ila katika pitia pitia zako, unaweza kuta za £8,000 nadhani. Kuna zingine ukisha ingia nchini na ukapata nafasi, unaweza negotiate nao fees..au unalipa installments...ukishindwa malizia mwishoni wanashikilia cheti mpaka umalizie kulipa. Katika muda huo, beba maboksi, malizia kulipa....upate cheti chako from University.
Kitu kingine, hizi college, zinatoa visa za miaka miwili. Sasa we fikiria huu mchezo unaweza cheza vipi. Kumbuka University education ni mwaka mmoja.......nadhani umenipata, kama vipi ni-PM. Soma vizuri uelewe nasema nini.
Mkuu, bei inaua, alot of the times cheap can be expensive. Ni sawa upate Nokia Original ya ki-Fini au Nokia feki ya KiChina....?
University nzuri sana. Labda useme tu department gani unakwenda, but generally ni Uni. safi.jamani vipi kuhusu university of nottingham, nimepata offer kujoin nipeni data kabla sijauza mbuzi wangu