IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
hata mimi, na katika suala hilo hakuna sababu ya kufanya research yoyote, huyo aliyepoteza muda ku research labda alikua anataka kula hela za wafadhili tu
mkuu umenivunja mbavu...!!!!! Mugongo mugongooo!!! Kiukweli unasisimua sanaa kwenye....