thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,886
Uwiiiiiiiiiiiiiiii,wale warembo namba 9 tupo????????????
ahaaaa ....
Ha ha ha hapa si bure..sentesi hii inanipa utata...
halafu wachina wana sura mbaya, shepu ovyo bora hata wahindi wamejaaliwa sura nzuri
unajua nini Mapi? wachina sio kama wabongo wanaaangalia sura na mahaga, wao hawahangaiki kabisa na hiyo makitu wao wanaaangalia mashine ya pale kati tu bhaaasi!hahahahaha...ila bado wanawapenzi na wanapedwa
Sawa ngoja nami nizitazame hizo neema za allah...Unafkiriii?? Mwanamke mwenye kashepu kazuri ana raha yake kumuangalia. Hajakosea yule aliesema neema za Allah.
kaka kwa nini unashangaa?
dunia ina mambo hii dada!