World's Best Butt.

World's Best Butt.

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Mtaalamu mmoja anayefanya research juu ya uhusiano uliopo kati ya maumbile ya wanawake na mahusiano yao ya kimapenzi, amedai kwamba, wanawake wenye makalio mazuri na nyonyo nzuri ndio wanaoongoza kuwindwa kwa kiwango cha juu na wanaume duniani.

Ameongeza kuwa kuna uongo mkubwa unaovumishwa na wanaume kwa kudai kuwapenda wapenzi wao kwa sababu zingine mbalimbali kama tabia, haiba, mwenendo, akili na nyingine zinazofanana na hizo. Lakini, mwanaume hana nafasi hata nukta moja ya kufahamu tabia halisi ya mwenzi wake mpaka pale atakapojiingiza kwenye mahusiano, hasa ya muda mrefu kama ndoa. Mtaalamu huyo amesisitiza kuwa, hakuna mwanaume anayempenda mwanamke kwa sababu ya tabia, bali wanaume wengi husingizia tabia kama kitu kilichowafanya wawapende wake au wapenzi wao. Amesema hiyo ndio hali halisi kwa sababu katika mahusiano, nia ya wapenzi huwa ni kufurahishana, mwanamke au mwanaume huishi kwa kujibadilibadilisha kutegemea na mazingira ili aweze "kuaccommodate" matakwa ya mwenzi wake.

Mtaalamu huyo amedai ni wazi kuwa wanaume huwapendea wanawake walio nao kwa sura/uzuri, maumbile yao hasa ya makalio na nyonyo "men of 21 century are all beauty, ass and boob lovers, they will obviously give you different sucking reasons why they are with such women, because it would seem stupid for them to admit how crazily, women beauty, asses and boobs drive them!".

Ameweka mkazo kwamba, kuna tofauti kubwa kati ya makalio mazuri na nyonyo nzuri za mwanamke na makalio makubwa au nyonyo kubwa.

Kwa mjibu wa mtaalamu huyo makalio na nyonyo za mwanamke huchangia kwa sehemu kubwa sana urembo wake. Aidha, uzuri wa makalio ya mwanamke huchangiwa na mwenendo wake, "symmetry" - uwiano sawa wa makalio, elasticity, vertical and horizontal movement, equilibrium, namna mwanamke anavyojiposition, artistic behavior ya mwanamke, msikilizano kati ya makalio na viungo vingine vya mwili wa mwanamke, body flexibility, ngozi yake, na mambo mengine lukuki, alinadi mtaalamu huyo.

Kumekuwa na mashindano kadhaa ya kumtafuta mwanamke mwenye makalio mazuri duniani, mojawapo liliratibiwa na yahoo, sasa nashangaa kama kwenye orodha hii hapa chini hakuna mwanaJf wa kike hata mmoja!

10 Best Ass's in the World 2013! - YouTube

The 50 Best Asses In The World | Elite Daily

Best Ass in the World

https://www.facebook.com/pages/Kim-Kardashian-Has-The-Worlds-Best-Butt/268710666533359

Meet Miss Bumbum 2012: The Best Butt in Brazil | Fox News Latino
 
mimi mwanamke mwenye makalio makubwa anaimaliza sana.....napenda sana nipo adiicted kwa kweli
 
Wengi hao feki hadi Ma-Silikoni wamejipiga kama akina Lola Luv. Mtoto bana muone huyu hapa Mariana Davalos.....

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Wangekuja tz wajione big a$$ mamaz hachana na hizo za kudhungu
 
hivi ujue kila kiungo cha mwanamke ukikiangalia kwa mtazamo chanya lazma utakipenda! wataalamu washaelewa hapa. teheeee!
 
Back
Top Bottom