World saddest face(picture of the day)

World saddest face(picture of the day)

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
667
Reaction score
721
Ni picha ya mtoto kwa kisyria aliyeko katika kambi ya wakimbizi ya atmen,wakati mwandishi alipotembelea na kutaka kumpiga picha maskini mtoto huyu kwa aliyoyaona huko syria ali surrender kwa kunyoosha mikono akafikiri ile camera ni bunduki anataka kuuliwa na kuwa mpolee..her face say it all 1441541103837.jpg
 
Ni picha ya mtoto kwa kisyria aliyeko katika kambi ya wakimbizi ya atmen,wakati mwandishi alipotembelea na kutaka kumpiga picha maskini mtoto huyu kwa aliyoyaona huko syria ali surrender kwa kunyoosha mikono akafikiri ile camera ni bunduki anataka kuuliwa na kuwa mpolee..her face say it allView attachment 284234
Hii haijanisikitisha Kuna moja niliiyona mtoto mwili wa mtoto unaelea mwambao wa Greece dar ilinitoa machoz. Wakimbiz wa Syria wanaokimbilia ulaya
 
Hii haijanisikitisha Kuna moja niliiyona mtoto mwili wa mtoto unaelea mwambao wa Greece dar ilinitoa machoz. Wakimbiz wa Syria wanaokimbilia ulaya

Mkuuu ile naijua ila hii ndo imekua viral mitandaoni sababu ya hyo situation ya mtoto na mambo aliyoyaona mpaka camera anajua ni bunduki..her face inaonesha ku give up na kusurrender mpaka huruma
 
Ni picha ya mtoto kwa kisyria aliyeko katika kambi ya wakimbizi ya atmen,wakati mwandishi alipotembelea na kutaka kumpiga picha maskini mtoto huyu kwa aliyoyaona huko syria ali surrender kwa kunyoosha mikono akafikiri ile camera ni bunduki anataka kuuliwa na kuwa mpolee..her face say it allView attachment 284234

Life can be a very cruel thing especially when men took up arms and play the game of ''who has the bigger di**'' while innocent souls like this one pay the heaviest price.

She might've witness mass murders and the like na vitu kama hivyo huwa imprinted kwenye ubongo wa mtoto wa umri huu kwa muda mrefu sana.The psychological traumas are unimaginable.God bless the human race.
 
Life can be a very cruel thing especially when men took up arms and play the game of ''who has the bigger di**'' while innocent souls like this one pay the heaviest price.

She might've witness mass murders and the like na vitu kama hivyo huwa imprinted kwenye ubongo wa mtoto wa umri huu kwa muda mrefu sana.The physiological traumas are unimaginable.God bless the human race.

Yah ni kweli kabisa,usikute kaona mauaji mengi kushinda hata mtu mzima ndo maana akajitetea kwa kusurrender
 
unapojua kuwa huyo mtt alinyosha mikono akidhania camera ni bundki ndio inapotia uchungu, mimi ni kauzu kweli kwenye real life ila picha na video za mateso wanayokutana nayo hawa migrants wa kiarabu huwa zinanihuzunisha!
Mungu awasaidie.

Yah ndo kilichoifanya hii picha kua maarufu
 
Kuna mambo tuyaskie kwa Jirani tu ,kuna kauli ninazozitoa ambazo sio nzuri ila ni hasira tu na wanasiasa wanataka kutupeleka huku Mungu na wanadamu wenzangu mnisamehe bure kwa kauli nlizotoa za kukwaza ,Mungu utuepushie mbali machafuko katika nchi yetu tuendelee kuishi kwa amani japo kula Milo mitatu ni shida
Kuanzia Leo nakua balozi Wa Amani Tanzania
#sote_ni_ndugu
#watoto_Wa_baba_mmoja
Mungu uwakumbuke Wa Syria hawa
 
leo ndo wamezikwa ile familia ya mama na watoto wake wawil waliokua wanakimbia machafuko syria..kale katoto kakafia baharin..eee mungu tunusuru waja wako vita mbayaaa
 
Back
Top Bottom