World Hijab Day

World Hijab Day

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1415697069355.jpg
 
Hawa madogo wangekuwa huko Ufransa sijui wangekuwa wapi mida hii....yarabi toba.
 
Hako kadada, kwa nini kukatwisha na handbag looote hilo....
 
So inamaana HIJAB ni vazi la wote na laonyesha linanidhamu yake ila tu ni ubishi wa sie wenye dhambi....

QUOTEs=FaizaFoxy;11105513][/QUOTE]
 
Vazi takatifu kuliko yote.Hijabu aliyovaa mama yake yesu ndio hijabu sahihi kama wanazovaa waislam leo hii.Pitia historia au muonekano wake kupitia maandiko na picha wanazojaribu kufanania muonekano wake katika uhalisia.Ama kweli uislam ndio dini ya kweli kuliko dini nyingine zote duniani.Walo bahatika wamepata bahati ya kweli.
 
1415700319655.jpg
 
Hakika nikivaa hijab na baibui najisikia amani sana moyoni...kila niendapo naheshimika tofauti na mavazi mengine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom