World Cup Without Ronaldinho Unimaginable! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

World Cup Without Ronaldinho Unimaginable!

Discussion in 'Sports' started by Companero, Apr 22, 2010.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ronaldinho: I'll win the World Cup

  April 22, 2010

  Ronaldinho says he is convinced he will be part of the Brazil squad that will win this summer's World Cup finals in South Africa.

  [​IMG] GettyImagesRonaldinho (L) is out, but Robinho is in.  Ronaldinho was a key member of Brazil's side at both the 2002 and 2006 events - helping them to win the tournament in 2002 - but has not made an impression on Brazil coach Dunga and could miss out on this year's tournament.
  However, the AC Milan playmaker says that he is not fearing for his place in the squad.
  "I will go to the World Cup and I will win it,'' he said in an article in Chi. "Recently I have had problems with the national team, but it hasn't been my fault.
  "I can't imagine a World Cup without Ronaldinho on the field. It seems impossible to me when I think of not playing.
  "I feel bad, really bad. Therefore, I can safely say I will make my country proud in the World Cup and, above all - with my team-mates - I'll win it."

  http://soccernet.espn.go.com/world-cup/story/_/id/775070/ce/uk/?cc=3888&ver=global
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuipeleka Brazili uwanjani bila Dinho ni sawa na Kuipeleka JF katika mapambano bila Mwanakjj!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Lakini huyu jamaa (Dinho) mi naona kama kiwango kimeshuka tofauti na kipindi kile cha world cup iliyopita.
  ni haki yake kutemwa.
   
 4. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dinho mimi namfananisha na Tembo ambaye hata akiugua vipi hawezi kukonda mpaka akalingana na nyau, huyu jamaa hata kama ameshuka kiwango lakini si hadi kufikia level ya Mrisho Ngassa, the guy is genious na mchango wake ni wa muhimu kwenye timu ya Brazil
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Uliangalia lakini mechi ya kwanza kati ya Milan na Man U? Ni kweli sio mkali sana kama zamani ila pengo lake bado halijazibika katika Selecao hasa ukizingatia kuwa kiwango cha Kaka kimepungua kutoka na kuwa majeruhi kwa muda mrefu na dogo Binho hatabiriki! Uveterani wa Dinho na Ronaldo unahitajika sana Sauzi 2010!
   
 6. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  If at the time of final selection the opinion of the team coach Dunga is that Ronaldinho has no place in Brazil's national team, we have to respect the decision (both the inclusion or exclusion). His form has not picked up.
  Addition problem for Dunga is that Kaka is also not in good form.
  If there are good replacements, Dinho can be left out, but maybe he can make the final cut and be a sub.
  Remember, Felipao left Romario and they won in Korea/Japan 2002.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa Brasil ni kwamba wana wachezaji wengi sana wenye vipaji. Usishangae fainali hizi akaibuka Juzinho au Ngabunho na akawa mzuri kama Ronaldinho au hata kumzidi...
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mnacho sahau ni kwamba Brazil wana dimbwi la vipaji. Kumbukeni 2002 Ronaldinho laichukua nafasi ya Romario. Watu walipinga sana na hadi kocha aka tishiwa kama asipo rudi na kombe la dunia. Matokeo yake yakawa nini? Ronaldinho mchezaji mzuri ila sidhani kama bila yeye Brazil si chocote. Labda kama tunaongelea ushabiki kwa sasa.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Aliyechukua nafasi ya Romario ni Ronaldo....wote hawa wawili wanacheza center forward (9)....Ronaldinho ni kiungo kama alivyokuwa Bebeto....
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  To me what matters most isn't the big name one has or how influential a person is, but the quality of football one plays. Sasa kama kiwango kiko bado juu basi Dunga atamchukua lakini kama madogo wanampiga chini kwa kiwango, aende bondeni kufanya nini labda kama atakwenda Suncity kutalii!
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watu mnaopinga uwepo wa 'The Little Ronaldo' jibuni swali hili: Je, mchezaji gani anaziba/ameziba 100% pengo la Ronaldinho katika kikosi cha sasa cha Brazil?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Final cut bado haijatangazwa.....lakini nina uhakika kabisa Brasil hawana shida ya kuziba pengo hilo....swali kwako, kwani kabla ya Ronaldinho nani alikuwa anacheza nafasi yake?
   
 13. O

  Orkesumet Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kwa mtazamo wangu dunga anatumia falsafa ya teamwork kuliko kipaji cha mchezaji mmoja mmoja. ikumbukwe kuwa alipopewa timu watu walipiga kelele sana kutokana na kutokuwa na rekodi ya ukocha na hata timu aliyochagua haikuwa na mvuto ukizingatia kuwa wengi wa wachezaji walikuwa wakicheza mpira brasil, russia. lakini muda ulivozidi kwenda timu ikaimarika na kucheza kitimu zaidi na kufanikiwa kubeba makombe ikiwamo confederation cup. Bila shaka hakuna aliyetarajia mchezaji LUIS FABIANO angepata number au kuwa regular katika timu za brasil! Kwa sasa timu ya brasil inacheza mpira ambao ni wa europe zaidi kuliko samba, unahitaji kukimbizana kuliko pasi fupi za taratibu....na the phenomeno dinho hachezi kwa nguvu kama awali, si wa kukimbiza mpira na kukaba kama awali hivyo automatically ha-fit katika falsafa ya dunga! Ni mawili, kubadilika sasa na kuonyesha kiwango zaidi katika mechi zilizobaki za AC milan au kutochaguliwa!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Dunga has a good problem if there is such a thing as a good problem. He has a gazillion of great talent to choose from...and tha in my opinion is a good problem to have........
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Walipokwenda Japan na Korea bila Romario ilionekana kana kwamba hawawezi fika mbali but Scholari aliwaambia tunakwenda bila Romario na tutachukua kombe bila romario na iliwezekana. Kama kiwango kiko chini narudia tena na kama kocha hana ugonvi naye hakuna haja ya kumpeleka bondeni kama mchezaji wa timu ya taifa. Wakati uteuzi unafanywa mwaka juzi yalipelekwa kwa Dunga majina laki tano ya wachezaji wazuri ndani ya Brazil na wakachaguliwa kwa njia ya kura za simu na akabaki na mia tano na kutoka hapo ndo akatoka na thelathini kwa ajili ya qualifying matches. Brazil bado ina wachezajimkibao tu jamani tena wazuri!
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu ni upuuzi kulinganisha suala la Romario na Ronaldinho. Wakati wa Romario kuliwa na mtu aliyekuwa na uwezo wa kuziba pengo lake yaani Ronaldo. Kwa sasa hakuna mtu aliyeweza au anayeweza kuziba pengo la Ronaldinho!

  Ngabunho ni kweli Brazili wana gazillion of talents lakini hakuna hata mmoja aliyeziba pengo la Dinho mpaka sasa. Kabla ya Dinho kulikuwa na kina Denilson Machenga, Bebeto na wengineo. Mbadala wa Dinho bado hajapatikana!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Apr 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Unaangaliaga lakini ligi ya Brasil wewe au unaongea tu? Nina uhakika kabisa kikosi cha kwanza cha Botafogo, Fluminense au Flamingo kinaweza kuiwakilisha Brasil na wakachukua ubingwa....hawa jamaa wamebarikiwa bana....wee acha tu
   
 18. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  USIKURUPUKE...
  Saint Gaucho ni kama Jua...
  Lisipokuchoma barazani basi litakuchoma uwani.

  saint Gaucho hajachoka na ndo maana Dunga anapata shinikizo kutoka kwa jumuiya za kimataifa akitakiwa amchukue muheshimiwa huyu.

  Kaka Kaumia, Robinho soka la ulaya tu limemshinda, sasa je nani atakayekuwa akikichukua kijiji na kukipeleka kwenye kona kisha kukitia njaa na kumwaga majalo yenye upako kichwani mwa Louis Fabiano?
   
 19. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kukosekana kwa Saint Gaucho south ni sawa na kashata kukosa sukari.

  Nyie mnaokurupuka na kuropoka kuwa Saint Gaucho kachoka je mnajua anyeongoza ku kutengeneza magoli ktk serie A ni nani na je katengeneza mangapi?
  Na je mnajua the Saint kafunga magoli mangapi msimu huu?

  Kama nyie mnasubiri mechi za chmps league ndo mumuone basi mtakuwa mnakosa mengi na hamtakiwi kumjadili.

  Kama unataka kumjua Mtakatifu Gaucho basi fuatilia ligi ya Serie A ndo utamjua vizuri na utajua kwa nini jamaa anatakiwa awemo kwenye kikosi cha Brazil.

  Leo hii Rivaldo Victor Borba Ferreira amechoka na ndo maana hakuna hata anayemZungumzia.

  Lakini kwa nn Saint Gaucho kila kukicha anakamata vichwa vya habari?

  Forza Milan
   
 20. Brutus

  Brutus Senior Member

  #20
  Apr 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  And don't forget that Luis Fabiano kwa sasa ni majeruhi!!
   
Loading...