Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Pamoja na Ronaldinho kushuka kiwango lakini sijaona mtu mwenge kiwango kumzidi ,Nahisi huyu jamaa ana matatizo na Dunga .Kitu kingine ni kuwa Brazil kuna wachezaji wengi wakali lakini kocha ndio anachagua ,wachezaji kama Diego-Juventus,Ronaldinho-Milan,Pato-Milan,Grafite-Wolfsburg wanastahili kuwepo kwenye timu ya Brazil