hahaha! but i always support Brasil, nilikuwa napitia swali la Chile na Japan! Final itakuwa kati ya Brasil dhidi ya Argie na mshindi wa tatu ni Ghana Vs Spain/Paraguay huu ni mwaka mbaya kwa timu za Ulaya.
heheh mkuu ningekuwa na dola 100 ya kupinga ,ningekuwa sauzi namuangalia messi live mida hii ,lakini msimamo wangu ni pale pale kesho BRAZIL anasambaratishwa. Hakikisha unakuwepo JF mida ya gemu.
heheh mkuu ningekuwa na dola 100 ya kupinga ,ningekuwa sauzi namuangalia messi live mida hii ,lakini msimamo wangu ni pale pale kesho BRAZIL anasambaratishwa. Hakikisha unakuwepo JF mida ya gemu.
Give it to the Argentinians - it is all physical fitness and aggresiveness. Closer to the American football than World soccer - just my opinion though.