World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

gerald,lampard,heskey,d.james hii ndio WC yao ya mwisho na wamemaliza kwa aibuu.....
SIwezi kumlaumu James, hakupata protection yeyote kutoka kwa defence..Ameokoa magoli mawili ya wazi kabisa, ngoma ingeweza kwenda hata 6-1 hii.
 
Nafikiri Fabio leo ndiyo mwisho wake wa kuifundisha hii timu ya England. Katika timu hii something is wrong among England palyers and very soon will be out for the Public to know. Gori la kusawazisha walilonyimwa lilikuwa ni turning point ya mchezo. But well done to Germany!
 
Haya haya kindumbwendumbwe, Bundesliga na Barclays. Will Kaiser Franz Beckenbauer words slamming English team butuabutua game come to reality Mjusi Embalasasa Ozeil outshining Lampard and Gerrard?

Lets tune to the game!


_48187651_england466.jpg



_48187652_germany466.jpg

Ooohhh my.........kwa heri uingereza, kwa huzuni.
 
Watu walikuwa wanamlilia Joe Cole, kaingia akabaki anaruka majoka tu..Bwe he he he..his performances suggests Capello was right to leave him on the bench..
 
Thank God! Now i can watch the world cup kwa amani. Thank you Germany
 
GERMANY VS ARGENTINA ? i cant wait for this game.


mkuu hawa jamaa wa kule amerika ya chini wakikutana wana mbinde si mchezo, usishangae ARGENTINA akasambaratishwa leo. anyway mimi ni MEXICO kwa leo though najua ushindi ni ngumu.
 
Nadhani hiki ni moja ya vipigo vikubwa sana kwa England ktk miaka mingi

The English invented football but the Brasillians perfected it....LOL
 
SIwezi kumlaumu James, hakupata protection yeyote kutoka kwa defence..Ameokoa magoli mawili ya wazi kabisa, ngoma ingeweza kwenda hata 6-1 hii.

wala siwalaumu.......nawaonea huruma tu na hiki kipigo na mwisho wa carrier yao.....
 
aibu yetu aibu yaoooooooooooooooooo??

bila shaka aibu yao wenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mkuu hawa jamaa wa kule amerika ya chini wakikutana wana mbinde si mchezo, usishangae ARGENTINA akasambaratishwa leo. anyway mimi ni MEXICO kwa leo though najua ushindi ni ngumu.

Naona mechi inayokuja mimi+wewe ni mahasimu..Nipo na Argentina,naamini kwa asilimia 99.9% wanaqualify..ha ha
 
Goli la nne ni la Barry.Solely. He almost stopped chasing and contesting the ball, akabakia kusindikiza tu..Nimegundua wachezaji wengine sio wazuri kihivyo..wanapata protection sana kutoka kwa top class team mates kwene vilabu vyao. Perfomances za Barry, Rooney and Lamps speaks for themselves.
 
Napenda alichosema Steve MacManaman, he was honest kuwa England was outplayed, they looked unmotivated and it it time to revamp the whole team na goli la Lampard wala lisiwe kisingizio. I can not wait to read Daily Telegraph!

Today, the best team won the game.
 
But guys, FIFA is a big joke!! Klinsman na McManaman wanakubaliana kuwa kuna umuhimu wa kutumia goal line technology. Imagine kama matokeo yangebakia 2-1......yaani FIFA wanashiriki kuharibu mchezo kabisa
 
Back
Top Bottom