World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

gerald,lampard,heskey,d.james hii ndio WC yao ya mwisho na wamemaliza kwa aibuu.....
 
Duh, England are exposed big time, full backs wao wanapanda kwa kuwa hawana midfield wingers, halafu mapengo yanatokea kwenye long balls. They need to sit out from internationals for the next 6 years wakijenga timu anzia under 12, under 17 na under 21.

The future iko kwa Germans na Ghama maana timu zao ni za vijana ambao wengi ni under 24.

These England players are the same who are playing in the big teams (Man U, Chelse, Arsenal etc)
Imewasibu nini leo?
 
tusubiri hawa wazee wajiuzulu kucheza mechi za kimataifa tuwaone watoto wenye uchu kama adam johnson, walcott ashley young na wengine.
 
Ushabiki pembeni na sababu zingine mtu unazoweza kuwa nazo binafsi, ukweli ni kwanba Waingereza wamekuwa outclassed leo. Lakini hii haihalalishi kuwanyima goli lao halali.

nimekupata kamanda, refa alifuja kiaina ! ,lakini still amewin ambae anadeserve. acha tusubirie kipute cha usiku , nipo pamoja na underdogs MEXICO,
 
Ghana ni wazuri kupita england.....
Wajerumani walipata tabu kuwafunga ghana...
Lakini wamewadhalilisha england........

Leo nimefurahi sana.
 
Waingereza alikuwa na timu nzuri mwaka '90...nyingine zote baada ya hapo ni majokeri tu
 
Huyu Capello aangalie, akirudi England wahuni wasije kumvunjia yai m*******. Kwi kwi kwi.
 
Ghana ni wazuri kupita england.....
Wajerumani walipata tabu kuwafunga ghana...
Lakini wamewadhalilisha england........

Leo nimefurahi sana.

kweli kabisa mkuu na uingereza wasingewafunga Ghana hata kidogo kelele tu na dharau zao ndio zinawapa kichwa.
 
nimekupata kamanda, refa alifuja kiaina ! ,lakini still amewin ambae anadeserve. acha tusubirie kipute cha usiku , nipo pamoja na underdogs MEXICO,

Ooh yeah...mimi sisukumwi na chuki wala nini kama walivyo wengine na ni mpenda haki sawa kwa wote. Deutschland wamecheza vizuri na wametumia vizuri fursa walizozipata na walistahili ushindi.
 
Hiyo ya mwaka 90.ni
cameroon ndio walifanya uzembe tu...
Waingereza ni mpaka waandae wenyewe naona....
 
Let FIFA consider and give England a benefit of doubt with a Lampad's goal to see if England could deserve to pass.

Roney, Steven Gerald and Lampad have done nothing in this WC 2010, they were oppress from start to finish...it is a waste team so to say if we comapre with capability of African teams ...Ohoo poor Fabio Capello..will see how English fans are now!!!
 
Aaaaaaaaaaaaaaah Mpemba..........Yashakuwa hayo tena?........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Capello &%^%$%^ zake, anajitia mzee wa principles hata kama hazizai matunda. Angalia kocha wa Ujerumani alivotulia, amechukua vijana wa kazi bila kuangalia usoni...vijana ambao anajua watamuhakikishia ushindi. Capello yeye anaangalia media imeandikaje ndo anafanya maamuzi.
 
Wanasema Uwanja wa ndege wa Oliva Tambo utakuwa very very kesho jioni..departure huh huh!!
 
Back
Top Bottom