BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
nakukaribisha tuwe pamoja kuiombea maangamizi UINGEREZA
Na iwe hivyo usemavyo mana itanoga!..Ila hii mechi hata kutabiria mwenzio siwezi!!.Sema nimejita matumaini makubwa kuwa Argentina wanapita ile mechi ya badae,washinde basi lol!!
Mechi hii naogopa kuwa mrengo wowote!..usijipe matumaini,huo ukuta wa berlin unaweza kuangushwa vile vile!!..Haya nakaribia,usiniangushe mweeh!😛opcorn:
Rooney and Defoe will kill racist Germans.
Nani unamshangilia BJ? Mimi nawashangilia wa kwa mama, but they need to improve their performance in order to win this game.
niko upande wa HITLER...
Hitler the racist wouldn't love your black fannies, you dim dusche bag of world history
Mechi hii naogopa kuwa mrengo wowote!..usijipe matumaini,huo ukuta wa berlin unaweza kuangushwa vile vile!!..Haya nakaribia,usiniangushe mweeh!😛opcorn:
Hahahahaaa....Belly usiwadharau sana kina amigo.....wale majamaa wana bidii za ajabu sana na hawakati tamaa. Usikute wanakula fajita na chalupa tu sasa hivi ili kujiweka sawa na mpambano hapo baadae. Usishangae wakiwatoa Argentina
Usisahau leo KLOSE anarejea hehehehe kutakuwa na ka ugali ka bure kwa majirani leo (hi haina shaka kabisa)