World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

...........Hawa Ghana wamezubaa sana ingebidi kufunga hata 2 katika kipindi hichi cha kwanza, USA hapo wakija kipindi cha pili mhhhhhhhh sijui kama watakubali kushindwa.Hata hivyo Ghana tupo pamoja mshinde hili game leo.
 
Unless Ghana wababilike the next 45min,nenda kasli hizi 15min,otherwise chances are: tutafika 120min...
 
Go black stars go... the whole Africa is behind you guys! ... but we need an early goal in the next half.
 
ghana hawana imani na kocha???wanapeana mawaidha nje kabla ya kwenda kumpotezea mserbia dressing room...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…